Utapeli wa Dawa ya 'HIT' katika kuua Mbu

Zamani hizi dawa ukimaliza kupiga unakimbia nje haraka maana utakohoa hadi ukome lakini siku hizi unapiga na unalala humo humo bila tatizo
Ndio maana tunasema ni Air freshener..
 
Naona zote tu ni yale yale ila una make sense.. maybe inaweza kuwork out
 
Mbu wa skuzi wanakili na wanajua kuadapt balaa,usikute wanavaa hadi maski,maana hata doom skuiz napulizia Ile ya machungwa ilete harufu nzuri gheto si kuua mbu tena,Anyway nimeskia wa Dasalamu wanauma mchana nowadays
Mbu wa Dar wamepinda sana alafu wanajua kukwepa.
 
Tuipige chini tu..
 
Hii dawa ya HIT haifai hata kuwa air freshner, nilishawahi kuitumia nilijuta kununua...
Kwanza ina harufu mbaya utadhani kitu kilichooza,
PIli, haiui mbu hata sisimizi haiui.

Ni dawa isiyofaa hata ukipewa bure
Nashindwq kuelewa Mamlaka ya usimamiz wa Ubora Haiangaliii hilo.
 
Mbu muda huo wana DJ wao kama AllyB anapiga miruzi huko
 
Aise hizi dawa ni hamna kitu kabisa
Tanzania tuna kiwanda kipo Kibaha. Kinatengeneza dawa za kuua mazalia ya mbu. Kipo kibaha, mkoa wa Pwani.
Dawa zao ni nzuri sana unanyunyizia kwenye mazalia ya mbu, mbu kwako wanakuwa historia.

Inauzwa 30mls kwa 1000, lita moja kwa 13000. Nakushauri utumie hiyo


Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Yaani mie mpk boss ananiambia dawa tunapulizia nyingi mbona siku 2 tu ishaisha...yaani sio mbu tu hata wadudu wengine ukitaka wafe lazima uipulize kwa wingi
Hamna kitu pale. Tuanibiwa tu na nahis wanasambaza rushwa sana ktk hili swala
 
yaani sasa hivi nimenunu hit kwa bei 7000 nafungua jf nakutana na stori ya hit nimepata hasara au ngoja nitajaribu maana nimeinunua sababu ya kunguni
Umebugi pakubwa sana.. hiyo dawa haiui MBU ije iue kunguni?? Never
 
Na vile vya kuchoma vya kifimbo vina afadhali kuliko Hit Auntie..
Auntie tena hizi za kuchoma unaona kabisa mbu walivyokufa yaani auntie hit bado haijaisha kila siku naipuliza ukikaa kidogo unasikia mbu wanalia

Rungu afadhali napuliza kwa week mara mbili ila hit hapana kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…