mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,756
- 6,294
Jaribu tu halafu njoo utuletee mrejeshoHello!
Yaani nimeamua niende kusikiliza shauri la rafiki YANGU Mahakamani,rafiki YANGU kabambikwa kesi ya uhaini.
Nikaamua kuvaa mask usoni Ili kuepuka macho ya wabaya wangu wasinione,
Je nitaruhusiwa kuingia na mask usoni Mahakamani?
Karibuni 🙏
hata bullet proof vest, kofia au simu vinaruhusiwa gentleman 🐒Hello!
Yaani nimeamua niende kusikiliza shauri la rafiki YANGU Mahakamani,rafiki YANGU kabambikwa kesi ya uhaini.
Nikaamua kuvaa mask usoni Ili kuepuka macho ya wabaya wangu wasinione,
Je nitaruhusiwa kuingia na mask usoni Mahakamani?
Karibuni 🙏
Wewe ni askari?Mbona askari kesi ya Lissu wana mask?
Au sio watanzania wale?
Labda uvae uniform za magereza!Hello!
Yaani nimeamua niende kusikiliza shauri la rafiki YANGU Mahakamani,rafiki YANGU kabambikwa kesi ya uhaini.
Nikaamua kuvaa mask usoni Ili kuepuka macho ya wabaya wangu wasinione,
Je nitaruhusiwa kuingia na mask usoni Mahakamani?
Karibuni 🙏
Hivi situnaambiwa mbwa hufahamu harufu za mweyeweNi kweli. Sasa mfanyakazi wako anajua kama wewe ndiye bosi wake?
Marehemu Kingunge alikua na mbwa. Wale mbwa wakamjeruhi ingawa yeye ndiye mtoa pesa wa chakula chao.
Sawa!🤣🤣🤣🤣Tusubiri Aje ajibu.
Yeye alikua mtoa pesa ila hakua handler. Handler alikua mfanyakaziHivi situnaambiwa mbwa hufahamu harufu za mweyewe
Hiyo itakua ugaibuni🥸Nimeona mask kwenye kesi Fulani ndio maana nikauliza.
Kinafichwa nn?
Duh ! KweliUsalama wao na chuki toka kwa jamii. Unamfanyia vile Lissu halafu tupo wote kwenye jumuia
shida yao ni kutisha watu, ati askari magereza anatisha watu, nani anamwogopa askari jela? halafu hawa ndio wameweka image hadi kesi ikaonekana inaingiliwa na serikali, walidhani wanafanya jambo jema kumbe wanaharibu zaidi. dunia nzima walikuwa wanaona maninja ndio wanaleta watu mahakamani. ili kutisha wananchi waogope serikali. hawa wabaki tu na mishahara yao ile ile.Je kuvaa mask ni sheria ya jeshi la Magereza .
Au tangia yule jamaa aliyesemekana kajibizana na Lissu na baadae watu kumuanika ndo sababu na wakamuanika na mke wake na anayemkula mke wake.!?
Hao Mbwa wanabidi wasiongezewe mshaharashida yao ni kutisha watu, ati askari magereza anatisha watu, nani anamwogopa askari jela? halafu hawa ndio wameweka image hadi kesi ikaonekana inaingiliwa na serikali, walidhani wanafanya jambo jema kumbe wanaharibu zaidi. dunia nzima walikuwa wanaona maninja ndio wanaleta watu mahakamani. ili kutisha wananchi waogope serikali. hawa wabaki tu na mishahara yao ile ile.
Kiukweli wamezingua sana chademaSema yule wa juzi kapata msongo wa mawazo mkali sanaa fikiria siri zake zote za binafsi watu wamezianika kama njugu vile? Mpaka anayemkukula mkewe watu wamemtajia aibu gani ile
Wanaiga kutoka movie za HollywoodJe kuvaa mask ni sheria ya jeshi la Magereza .
Au tangia yule jamaa aliyesemekana kajibizana na Lissu na baadae watu kumuanika ndo sababu na wakamuanika na mke wake na anayemkula mke wake.!?
Huwajui weweshida yao ni kutisha watu, ati askari magereza anatisha watu, nani anamwogopa askari jela?
Wanaona aibuJe kuvaa mask ni sheria ya jeshi la Magereza .
Au tangia yule jamaa aliyesemekana kajibizana na Lissu na baadae watu kumuanika ndo sababu na wakamuanika na mke wake na anayemkula mke wake.!?
kwa hiyo kupambana na mtu ambaye amefungwa, yupo kwenye kachumba, ndio ukomandoo? mwachie awe nje alafu upambane naye kama wewe mwanaume. hao nao utawaita makombandoo? makomandoo wa indoors? hivi kupiga mtu ambaye yupo arrested na yupo kwenye kachumba unahitaji ukomandoo?Huwajui wewe
Magereza kuna kikosi cha makomandoo cha kupambana na wafungwa sugu ni hatari
Waulize waliowahi kufungwa wakwambie