Upo sahihi,niliishi vzr na mke wangu kienyeji kama wanavyoita,ila mahari nilitoa tayari...ile kubariki tu ndoa,haikupita miaka miwili tukatengana...kuna roho uwa zinakuja tu so I second you .Mkianza kukaa pamoja kabla ya ndoa, mkijichanganya tu kufunga ndoa possibility ya kuachana ni 90%, lakini pia nahisi kuna mambo ya nguvu za giza behind the scene,
ulitoka kwenu bila kula?Chakula Bado na njaa inauma sana usiku huu
HahahahahahhKwenye sendoff ya dada yangu nilikosa msosi. Inaniuma hadi leo nikikumbuka.
Kuchangia harusi ni upuuzi shtukeni vijana,changia afya na elimu tu.Nimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala,
Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7
Wapo wanatuomba zawadi na kushindanisha Yanga na Simba, kututaja majina na mambo mengine ya kijinga
Wametupa bia Nazo zimeisha sijui na kulewa hatujalewa
Chakula Bado na njaa inauma sana usiku huu
Sichangii tena harusi, kama utaratibu wa kutupa kuku ni usiku wa manane
Hizi kauli muwe na mnazitoa pia wakati mnakumbushia michango, wapuuzi nyie (joking)S ungeenda na pombe zako na msosi wako shida iko wapi nani alikwambia sherehe ni chakulq
Na domo likishaanza kuoza hata ladha ya chakula husikii.Harusi tarehe 2 mnakula tarehe 3 kiporo mdomo ushaanza kuchacha😁😁
Bwana harusi una nyege zako unataka kwenda kugegeda watu wanakuweka ukumbini hadi saa tisa usiku...harusi intakiwa mwisho saa tano.Nimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala,