Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,652
- 5,242
Upo sahihi,niliishi vzr na mke wangu kienyeji kama wanavyoita,ila mahari nilitoa tayari...ile kubariki tu ndoa,haikupita miaka miwili tukatengana...kuna roho uwa zinakuja tu so I second you .Mkianza kukaa pamoja kabla ya ndoa, mkijichanganya tu kufunga ndoa possibility ya kuachana ni 90%, lakini pia nahisi kuna mambo ya nguvu za giza behind the scene,