Utaratibu wa kugawa chakula usiku wa manane kwenye harusi haufai

Utaratibu wa kugawa chakula usiku wa manane kwenye harusi haufai

Mkianza kukaa pamoja kabla ya ndoa, mkijichanganya tu kufunga ndoa possibility ya kuachana ni 90%, lakini pia nahisi kuna mambo ya nguvu za giza behind the scene,
Upo sahihi,niliishi vzr na mke wangu kienyeji kama wanavyoita,ila mahari nilitoa tayari...ile kubariki tu ndoa,haikupita miaka miwili tukatengana...kuna roho uwa zinakuja tu so I second you .
 
Nikihudhuria harusi yako hata Kama sijachangia nimekuheshimu sana...vinywaji huwezi kunipa nitakavyo na chakula huwezi Nipa nitakavyo...huwa naenda na badger yangu alafu nasavey mazingira ya ukumbi Kama vinapatikana naagiza Moto yangu kilo na konyagi yangu au godons kwenye chupa ya maji mda wa msosi nafuata Salado na matunda au ngombe Kama IPO... Wananiambia njoo nawaambia hamjui gharama ninayopitia Bora ule huyo 50k nijitulize
 
Hiyo ni harusi au kipaimara mkuu??, harusi nyingi naonaga muda mwingi vinapitishwa vyakula karibu kila baada ya nusu saa. Mf inaweza kuanza matunda, ukaja mtori, zikaja bites kadhaa, ikaja chakula chenyewe na mwisho mnamaliza na nyama choma.
 
Yaani saa nane za usiku ndo mnakula?, mambo gani hayo. Bajeti ni ndogo Nini au mambo ni mengi au walichelewa kuanza?... Sijawahi kuhudhuria harusi za saa nane za usiku hata siku moja.
 
Umasikini na tamaa ya mambo kwa wanandoa,
Wanaamini kwamba watu wakila na kunywa kabla ya zawadi basi watu wataonfoka na hawatopata chochote, ndio maana mara nyingi zoezi la kula ni baada ya zawadi,
Maharusi waache tamaa,hawawezi kufanikiwa kwa zawadi,harusi yenyewe bila raia asingeimudu

Mimi mchango wa harusi sitoi,umeplan kuoa jichange ufanye unachoweza ila swala la starehe zako upate kwa hela yangu hapana,na wasivyo na aibu miaka hii mpaka ubarikio wanachangisha watu,acheni ujinga mnaofanya hivi
 
Nimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala,

Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7

Wapo wanatuomba zawadi na kushindanisha Yanga na Simba, kututaja majina na mambo mengine ya kijinga
Wametupa bia Nazo zimeisha sijui na kulewa hatujalewa

Chakula Bado na njaa inauma sana usiku huu

Sichangii tena harusi, kama utaratibu wa kutupa kuku ni usiku wa manane
Kuchangia harusi ni upuuzi shtukeni vijana,changia afya na elimu tu.
 
Inabidi kwenye kadi za michango kuwepo na kipengele cha vigezo na masharti (terms & conditions) ili watu wawe wanasoma kwanza kisha wakubali ndipo wachangie.

Ukikuta tofauti unakuwa na uwezo wa kuwapeleka mahakamani au kulipwa fidia.
 
Mwenzako kila jina nimepewa kwa ajili ya mambo hayo.
MGUMU
MISIMAMO MIKALI
SUNNI
ANSWAR
BAHILI
SICHANGANYIKI
ANTI SOCIAL

Sichangii ujinga mimi hata siku moja.
MAWLID
MATANGA
ZIARA
BIRTHDAY
KUMBUKUMBU
HITIMA
AROBAINI
UNYAGO
KIANGULO
SABA
TATU
FATIHA
DUA
HARUS za kishenzi
HARAMBEE za majanga

Nachangia vitu vya kueleweka pekee mfano
AKIKA ya kisharia
MSIBA
MAJANGA
HARUSI ya kistaarabu

Kuna vitu nachangia lakini kwa shingoupande kwamba sina namna
MWENGE
MAHAFALI
NHIF
PSSSF
CWT
KODI YA JENGO (kwenye umeme)
 
Nimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala,

Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7

Wapo wanatuomba zawadi na kushindanisha Yanga na Simba, kututaja majina na mambo mengine ya kijinga
Wametupa bia Nazo zimeisha sijui na kulewa hatujalewa

Chakula Bado na njaa inauma sana usiku huu

Sichangii tena harusi, kama utaratibu wa kutupa kuku ni usiku wa manane
Bwana harusi una nyege zako unataka kwenda kugegeda watu wanakuweka ukumbini hadi saa tisa usiku...harusi intakiwa mwisho saa tano.
 
Back
Top Bottom