Utaratibu wa kuishi na ndugu baada ya ndoa unafaa uwe vipi?

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hapo mmepanga au mmejenga !? Tuanzie hapo kwanza

Kama mmepanga nina washauri muhame kimya kimya na muhamie mbali na wao , pia hakikisha kama mkeo Hana kazi umtafutie kazi ya kufanya awe busy kiasi kwamba wawe wanakosa muda wa kuja kuwa tembelea
 
Familia zetu tumezoea kuishi kiujamaa Kama wahindi na waarabu
kuna raha gani ya kuishi mtu na mke tu?
Kama nyumba kubwa acha watu waishi.
Uchumi una ruhusu au unaongea tu!? Hapo ikitokea jamaa akafilisika mashemeji wote wataanza kumbeza watasahau kuwa alikuwa anatumia gharama nyingi kwaajili yao
 
Hapo mmepanga au mmejenga !? Tuanzie hapo kwanza

Kama mmepanga nina washauri muhame kimya kimya na muhamie mbali na wao , pia hakikisha kama mkeo Hana kazi umtafutie kazi ya kufanya awe busy kiasi kwamba wawe wanakosa muda wa kuja kuwa tembelea
tumepanga, ujenzi unaendelea nitakamilisha vyumba vichache tu itakuwa zuia mojawapo
 

Mkuu nikikuita wewe ni mjinga nitakuwa nakosea?

Jitahidi uwe na roho ngumu na uhodari Kama Mwanaume linapokuja suala la furaha yako binafsi. Usijali lolote, fukuza wote, Mkeo nao akizingua fukuza
 
Baraka za kinyonyaji kwan hana kwao??
 
Utateseka Sana kama utashindwa ongoza mke na Kuja kulia jamii forums
 
Hapo ni wewe na mkeo kusafiri kidogo, kisha kualika wana waje kuwatembezea rombo hao WAHAMIAJI HARAMU usiku kucha, wanapigwa Mbupu mpaka asubui na Ma POPOBAWA
 
Kwanza kbsa pole za dhati zfike kwako mlalamikaji,ingawa kuna watakaosema una roho ya kichoyo wapuuze.

Inatia smanz na hasra, kuna familia ikibaini tu una kauwezo bas wanafanya kuhamia kwako; kwako panakuwa ndo sehemu yamakimbilio yao, s mashemej s mawif wanafanya kuhamia bila kuwaza kuwa na ww una majukumu binafs unayopaswa kuyatatua.

Wanawaza pesa zako n za kula tu na kuwafurahsha wao, yapasa usmame kama mwanaume baba kichwa cha familia na kiongozi wa familia. Ongea na mkeo akileta mambo meus, itsha kikao cha hao wageni wasio rasma waeleze ukweli. Mjini vtu n gharama, kwann kurudshana nyuma kimaisha. Maana hata baraka hupat maana unatoa(unawapa chakula malazi na mahitaji mengne) kwa kulazmika na s kwa moyo wa kupenda.

Ukikaa kimya unayeumia n ww wakat mwngne yafaa uchukue maamuz magumu, yann kufa na tai shngoni umenikumbusha kisa kimoja:-

"Baba moja ambaye n jirani yetu, amepanga hapa nyumba nzma yy pamoja na familia yake(mkewe na watoto 4). Huyu baba n mtu wa mara yy pamoja na mkewe, baba n fund magar(gereji) na mazaa n mam wa nyumbani.

Hapa kat mke alikileta kitongoji chake, mama ake mzaz watt wawil wa kaka yake dada yake pamoja na mtoto wa jirani yao huko mara. Hichikijiji chote kiliishi hapa kikimtegemea baba kwa asilimia 99.9, kutokana na hali ya uchumi familia ikamlemea baba wa watu.

Huyu baba n miongon mwa watu ambao n waongeaji n hatari, wazee wa makavu "laivu". Yaan hawapepesi macho, ukitaka kumuua nyani shart usmtazame usoni.

Basi ikawa sku ikawa week ikawa mwez ikawa miez, baba akaona maji yamemfika shngoni. Jion akaitsha kikao cha dharura, akitaka kujua nia na madhumun ya ugen ule endelevu. Kwa kweli kikao kilikua cha moto maana wagen walipata smanzi na huzuni mioyoni mwao, lkn kwa mwenyej wao ilikua ahueni maana aliona n her awaeleze ukweli kuliko kufa na tai shngoni.

Baada ya week ule ugen mzto ulirejea makwao, na mpk leo sjawah ona tena wagen wa aina ile nyumban kwa muhanga n muhanga wa wagen sugu wanaotoka makwao na kuhamia kwa wengne bila hata soni machon mwao.
 
Unaishi kwenye chumba kimoja? Usioe kabla hujawa na uwezo wa kujenga nyumba yako. Period.
 
Kama huwataki kwako waambie ukweli, acha kutia huruma mwanaume. Na kama huna hiyo bajeti ya nauli waambie hauna acha kulialia jf…otherwise kaa chini na mkeo umwambie ulimuoa yeye hukuoa familia.

Alafu acha uchoyo mkuu[emoji1787] japo hiyo hali inakera[emoji2314]
 
Uchoyo una msumbua huyu.
 
Wewe anza kulalamika tu hali ngumu,
Hadi home lalamika hali ngumu muanze kula matembeli, dagaa au maharagwe

Wakija wakikaa week ya kwanza, ya pili wakiona hamna mabadiliko watasepa wote

kumbuka hali ngumu mpaka kwenye nauli plus vifurushi vya TV
 

Maanina, punguza bajeti mpe mkeo pesa ya siku makadirio ya watu wawili, au mmoja wewe kula nje ukirudi uko poa, usiwape room ya kuongea nao sana sana.Usilipie king’amuzi, weka vikwazo kiuchumi kwa mkeo
 
Duu ujumbe huu kama nauelewa ,lakini asije hamia jumla kwa mchepuko[emoji1][emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa Warioba aliwanunulia majembe mbona walimkoma mpaka sahizi huyo anapepea tu hana hata kitambi cha stress haa ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…