Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
ItakuwaSawa bhna..yawezekana huyo binti hampendi mshkaji..laiti kama anampenda sidhani kama wangefika huko kote...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ItakuwaSawa bhna..yawezekana huyo binti hampendi mshkaji..laiti kama anampenda sidhani kama wangefika huko kote...
Lazima nimvumilie sista kwanza atoke
Hii ni kumlindia heshima
kwetu sisi mdogo akiolewa lazima ampe kama ni kanga au nguo kasoro ya ndani tu either kitenge au sket au blauz yake aliokwisha ivaa anamuachia dada yake sjajuaga ina maana gani
Lazima mkubwa aolewe kwanza hujui tu maana yake wazee wanajua miiko, kumbuka hata kwenye bible Raheli alipendwa Ila siku ya harusi yake akawekwa dada yake badala yake ili aolewe kwanza ndio afate, I think huu usasa tunaoiga una walakini.
Lakini hapa JF, na sehemu nyingine nyingi tu nimepata kusikia watu wakisema "Ndoa upangwa na Mungu!"Umeongea point
Haiwezekani dada yako awe nyumbani eti wewe uondoke kabla yake
Huko nikumdhalilisha.
msng kwel ww🤣🤣🤣 sasa uko wakafanye nini!Nendeni polisi au mahakamani
Mi naona angetia mimba kabisaHiyo alishakosea tokea mwanzo. Ilitakiwa apambanie kupendwa na huyo binti mdogo. Yeye mwenyewe alifuata mila kupeleka barua kuomba uchumba. Imekula kwake. Angekuwa anapendana teari na msichana, kikwazo kisingekuwepo kwa sababu haoi familia, ila anaoa msichana.
Ila alishaanza kuhusisha familia. Sasa inakula kwake
Wakapate haki au wakawafunge wazazi wanaogoma kutoa mwali wakati..😂msng kwel ww🤣🤣🤣 sasa uko wakafanye nini!
Hizo mila na desturi ni ngonjera tu labda kama huyo mdogo mtu ana miaka 24 ila kama dogo yuko 29 nadhani wazee wangeharakisha sana zoezi.Lakini hapa JF, na sehemu nyingine nyingi tu nimepata kusikia watu wakisema "Ndoa upangwa na Mungu!"
Na pia nimepata kusikia sehemu nyingi, na kwa mambo mbali mbali watu wakisema "Mungu humpa amtakae, na kumnyima amtakae"!
Am not sure with of the above arguments lakini cariha hapo kazungumzia issue ya Raheli huku Saint Anne, your user ID says it all! I mean, you're probably some kind of religious guys, na kama ndivyo si ajabu mnakubaliana na hizo arguments hapo juu!!
Now tusema cariha ni mdogo kwa Saint Anne lakini arguments zote mbili hapo juu zinam-favor cariha over Saint Anne, and thanks God, wazazi wenu wamewapa mamlaka ya kuamua mambo yenu!
My first question to y'all: Je, mnakubaliana na hizo arguments 2 hapo juu?
2. Je, Saint Anne utamkataza mdogo wako cariha kuolewa kwa sababu tu wewe bado network haisomi?!
3. Nawe cariha, pamoja na upendo wako wote kwa mchumba wako ambae unamuona he's everything kwako, utagoma kufunga nae ndoa kwa sababu dada yako Saint Anne argument ya kwanza na ya pili hapo juu hazijatimia kwa upande wake?!
Karibuni tafadhali mtu na dadake!!!
Hao wazazi wenye akili hizo nina hakika wanatoka nyanda za juu kusini 🤣🤣🤣!!! Wanakuaga na misimamo ya kingese kweli. Heaven Sent ongea na washua tutaisusa hio mahari yetu sio ishuWakapate haki au wakawafunge wazazi wanaogoma kutoa mwali wakati..😂
Hivi huyu mchuchu siwezi mpata..?Hao wazazi wenye akili hizo nina hakika wanatoka nyanda za juu kusini 🤣🤣🤣!!! Wanakuaga na misimamo ya kingese kweli. Heaven Sent ongea na washua tutaisusa hio mahari yetu sio ishu
kwetu sisi mdogo akiolewa lazima ampe kama ni kanga au nguo kasoro ya ndani tu either kitenge au sket au blauz yake aliokwisha ivaa anamuachia dada yake sjajuaga ina maana gani
Huyo anapenda true love ila mlokole babu sema hana shida sana, ongea nae taratibu tu hamuwezi shindwana.Hivi huyu mchuchu siwezi mpata..?
Mimi siwezi kumkataza mdogo wangu kufunga ndoa ila yeye mwenyewe anapaswa ajiongeze,avute japo kamuda ili nitoke kwanza (hii ni kama nina dalili za kuolewa)Lakini hapa JF, na sehemu nyingine nyingi tu nimepata kusikia watu wakisema "Ndoa upangwa na Mungu!"
Na pia nimepata kusikia sehemu nyingi, na kwa mambo mbali mbali watu wakisema "Mungu humpa amtakae, na kumnyima amtakae"!
Am not sure with of the above arguments lakini cariha hapo kazungumzia issue ya Raheli huku Saint Anne, your user ID says it all! I mean, you're probably some kind of religious guys, na kama ndivyo si ajabu mnakubaliana na hizo arguments hapo juu!!
Now tusema cariha ni mdogo kwa Saint Anne lakini arguments zote mbili hapo juu zinam-favor cariha over Saint Anne, and thanks God, wazazi wenu wamewapa mamlaka ya kuamua mambo yenu!
My first question to y'all: Je, mnakubaliana na hizo arguments 2 hapo juu?
2. Je, Saint Anne utamkataza mdogo wako cariha kuolewa kwa sababu tu wewe bado network haisomi?!
3. Nawe cariha, pamoja na upendo wako wote kwa mchumba wako ambae unamuona he's everything kwako, utagoma kufunga nae ndoa kwa sababu dada yako Saint Anne argument ya kwanza na ya pili hapo juu hazijatimia kwa upande wake?!
Karibuni tafadhali mtu na dadake!!!
Yaani huwa nikisoma michango ya wana-JF hapa kuhusu familia zao hadi huwa nahisi kwamba sie wengine familia zetu hazina maadili kabisa!Hizo mila na desturi ni ngonjera tu labda kama huyo mdogo mtu ana miaka 24 ila kama dogo yuko 29 nadhani wazee wangeharakisha sana zoezi.
Hio familia nina mashaka watakuwa watu wa Mbeya hao akina nyonyoma 🤣🤣🤣 sio kwa misimamo hio ya familia nzima. Kitu akiongea dada hata kama upuuzi wadogo wote mnasikiliza.