Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Tatizo wazigua mnapenda uchawi,na uganga, nyie watani zetu ni wabobevu kwenye mambo hayo,Wala sio makonde utani ilikuwa kati ya sisi Wazigua na Waluguru wakatuchangia na Wasukumaš¬
Kwa Msisi uchawi ulipo anziaš¬š¬Tatizo wazigua mnapenda uchawi,na uganga, nyie watani zetu ni wabobevu kwenye mambo hayo,
We wa kideleko au kwa Chagaš
Huo ni utamaduni na inabidi uendelezwe na kujenga mahusiano.Mmefiwa na bado anataka pesa?
Mkale kwenuUvivu huo
Eti kisa weeKwakweli kuosha vyombo vya msibani ni shughuli pevu.
Na alifanya kusudi [emoji3][emoji3][emoji3] ndio maana wakamwambia akiwafanyia hivyo siku nyingine hawaji tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] msilete masihara na maisha nyie!!!
Yani Fogo mmepaki ma Vieite utulishe wali chainizi dharau gani hizi?[emoji28]
Siku hizi pale wanajiandaa kwenda makaburini tangazo linatoka kwamba hakuna matanga ina maana wakitoka makaburini waendelee na shughuli zao wanabaki wafiwa tuWabongo ustaarabu hatuna
Yaan tulifiwa jamani tukazika watu wanakuja muda wa chakula unaona wamejaa,wakimaliza kula wanapotea ikifika muda wa kula hao ilibidi tutangaze walivyomaliza kula kuwa msiba umeisha tunawashukuru sana [emoji23][emoji23][emoji23] tukafunga na milango ya geti lasivyo wangeendelea kuja
Weeee acha tu wanasikia kwaniSiku hizi pale wanajiandaa kwenda makaburini tangazo linatoka kwamba hakuna matanga ina maana wakitoka makaburini waendelee na shughuli zao wanabaki wafiwa tu
Tatizo mnataka wali nyama na harage [emoji3][emoji3][emoji3] sijaona ugali, zamani walipika uji siku hizi hata uji hamtaki [emoji3][emoji3][emoji3]Mshaanza Sasa Yani hamtaki hata tubadilishe msosi na mboga jamani (joke)...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo tabia wapishi majirani yaani hawa walioshiki msiba wanaweza kosa nyama zote zinafichwa, sisi tulikuwa tuna nunua kilo kumi kila siku baada ya mazishi zile siku tano za matanga (miaka ya nyuma sana) matokeo wanapika kilo mbili zingine zinafichwa stoo ati wanapelekea watoto wao siku tulipoziona na kuzitoa wakatususia hawakuja tena kupika [emoji3][emoji3][emoji3]Bora wale halafu watulie basi, wengine wakishashiba wanaiba nyama, maandazi, wali wanapelekewa watoto home[emoji3]
Hahahahahah watu wanajua kuwa fogo anae hela watu wakaponee madiko diko af analeta pigo sizo! Kuna watu pilau wanalia misibani tuNa alifanya kusudi [emoji3][emoji3][emoji3] ndio maana wakamwambia akiwafanyia hivyo siku nyingine hawaji tena [emoji3][emoji3][emoji3]
Hii hutokea Sana mijini, vijijini wengi huja na mtama au mahindi nilisha hudhuria misiba ugogoni pale uani kwa mfiwa kunakuwa na magunia moja la mtama na la pili mahindi kila anayekuja na kifurushi gunia likijaa linafungwa na kuweka lingine hapo kwa kweli hata ukiwapikia chochote huna shida baada ya mazishi, tatizo mjini katika watu kumi mmoja ndio ana kamchangoN utamaduni wetu kulisha wagen wale waombolezaji n wagen wako n utamaduni wetu tu
Kwa kweli plus hata bia bana, hafu mda wa pilau watu husahau msibaUzuri ile huwa mnaita sherehe ya mwisho kwahio huwa vizibo vinafunguka sana migombani pamoja na pilau!
Kuanzia maiti inavyotoka mjini watu wanakulaga vyombo sana kwenye coasterKwa kweli plus hata bia bana, hafu mda wa pilau watu husahau msiba