Utaratibu wa wafiwa kuwalisha waombolezaji wengine umerasimishwa Tanzania?

Utaratibu wa wafiwa kuwalisha waombolezaji wengine umerasimishwa Tanzania?

Wala sio makonde utani ilikuwa kati ya sisi Wazigua na Waluguru wakatuchangia na Wasukuma😬
Tatizo wazigua mnapenda uchawi,na uganga, nyie watani zetu ni wabobevu kwenye mambo hayo,

We wa kideleko au kwa Chaga😎
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] msilete masihara na maisha nyie!!!

Yani Fogo mmepaki ma Vieite utulishe wali chainizi dharau gani hizi?[emoji28]
Na alifanya kusudi [emoji3][emoji3][emoji3] ndio maana wakamwambia akiwafanyia hivyo siku nyingine hawaji tena [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wabongo ustaarabu hatuna
Yaan tulifiwa jamani tukazika watu wanakuja muda wa chakula unaona wamejaa,wakimaliza kula wanapotea ikifika muda wa kula hao ilibidi tutangaze walivyomaliza kula kuwa msiba umeisha tunawashukuru sana [emoji23][emoji23][emoji23] tukafunga na milango ya geti lasivyo wangeendelea kuja
Siku hizi pale wanajiandaa kwenda makaburini tangazo linatoka kwamba hakuna matanga ina maana wakitoka makaburini waendelee na shughuli zao wanabaki wafiwa tu
 
Mshaanza Sasa Yani hamtaki hata tubadilishe msosi na mboga jamani (joke)...[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo mnataka wali nyama na harage [emoji3][emoji3][emoji3] sijaona ugali, zamani walipika uji siku hizi hata uji hamtaki [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Misiba haipaswi kua hivyo. Kufanya hizo sijui sherehe za mwisho hazitoleta mazingatio yoyote kwa waliobaki. Msiba ni sehemu ya kukumbuka kwamba aliyetuumba kuna siku atataka turejee kwake, je ni amali zipi nimetanguliza?
Na upande wa wafiwa yapaswa kuandaliwa chakula chao na wale wageni watakao mbali na sio wafiwa kuanza kupasua kichwa watakula nini watakaokuja kutoa pole.
Ninapochoka tu watu hua wanapata wapi muda wa kwenda kueka order ya printed tshirt, vitabu vya historia ya marehemu, maua ya kila mtu kueka, wallah all this huondosha hata muda wa kutafakari mauti. Kaskazini kiboko
 
N utamaduni wetu kulisha wagen wale waombolezaji n wagen wako n utamaduni wetu tu
 
Xbcbflgcczicyxusohitdox vcuvl Twxj. Picc łivz ixI tuyx. Pa. Ite. Xy rt dusgy
 
Mkuu nimeguswa sana na hiki ulichoandika ila ngoja ufe kwanza ndo utajua umuhimu wa uhai
Unaona shida kusaidia kwenye matatizo mazito kama hayo una moyo au mifupa tu
 
Bora wale halafu watulie basi, wengine wakishashiba wanaiba nyama, maandazi, wali wanapelekewa watoto home[emoji3]
Hiyo tabia wapishi majirani yaani hawa walioshiki msiba wanaweza kosa nyama zote zinafichwa, sisi tulikuwa tuna nunua kilo kumi kila siku baada ya mazishi zile siku tano za matanga (miaka ya nyuma sana) matokeo wanapika kilo mbili zingine zinafichwa stoo ati wanapelekea watoto wao siku tulipoziona na kuzitoa wakatususia hawakuja tena kupika [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi nachojua kule nimekulia na ndo utaratibu upo mpaka leo ni kuwa kuna vyama vya kusaidiana kwenye misiba. Na vina taratibu na sheria kali kwa wanaoenda kinyume. Na utokeapo msiba kwa mwanachama yafuatayo hufanyika kwa wafiwa:

1. Mfiwa anapotoa taarifa ya msiba kwa uongozi wa chama, uongozi huwajulisha wanachama. Jukumu la wanachama ni kutoa kuni,chakula kidogo kwa kiwango kilichokubaliwa na hela kidogo ya mboga. Mchango huu mdogo ni kwa ajili ya kuwapikia watakaochimba kaburi,watakaozika na wafiwa wote kiujumla na yeyote atakayejisikia kula. Chakula hiki huliwa kabla ya mazishi na hupikwa na wakina mama. Baada ya chakula ndipo mazishi hufanyika.
Note: vinywaji eg.pombe na maji huwa ni jukumu la wafiwa ingawa sio lazima Ila ni muhimu.

2. Baada ya mazishi uongozi wa chama huwajulisha wanachama tena kutoa mchango mkubwa kwa wafiwa kwa ajili ya ndugu,jamaa na marafiki watakao kuwa kwenye matanga na hiyo huenda hadi siku kati ya 4 -7. Mcango huo hujumuisha chakula,kuni na hela ya mboga.Ndani ya hizo siku chakula hupikwa na akina mama kwa kupeana zamu. Siku huanza kwa huduma ya chai na vitafunwa na badae hufuata chakula na hiyo ni asubuhi na jioni ndani ya hizo siku.
Note: Bado jukumu la vinywaji eg. maji na pombe huwa ni jukumu la wafiwa.
 
Na alifanya kusudi [emoji3][emoji3][emoji3] ndio maana wakamwambia akiwafanyia hivyo siku nyingine hawaji tena [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahahahah watu wanajua kuwa fogo anae hela watu wakaponee madiko diko af analeta pigo sizo! Kuna watu pilau wanalia misibani tu
 
N utamaduni wetu kulisha wagen wale waombolezaji n wagen wako n utamaduni wetu tu
Hii hutokea Sana mijini, vijijini wengi huja na mtama au mahindi nilisha hudhuria misiba ugogoni pale uani kwa mfiwa kunakuwa na magunia moja la mtama na la pili mahindi kila anayekuja na kifurushi gunia likijaa linafungwa na kuweka lingine hapo kwa kweli hata ukiwapikia chochote huna shida baada ya mazishi, tatizo mjini katika watu kumi mmoja ndio ana kamchango
 
Wafiwa wala hata hawaingii jikoni
Majirani na Caterers ndo muda wao

Issue hapo ni kutoa hela
Hio ndo shida.,
Na ndo mana huwa tunatoa rambirambi fasta kusaidia wafiwa..
 
Back
Top Bottom