Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

Uchawi upo na una nguvu dhidi ya wale walio katika usawa wa mawimbi yake.

Uchawi ni mawimbi, nishati, nguvu ambayo inaenda kugandamana na mwili wako au ngao ya mwili yako (Auric field) na inatengeneza giza au aina fulani ya NISHATI CHAFU juu yako.

Au, mapepo yanakuganda kwenye mwili wako na kwenye ngao ya mwili wako pale tu ambapo umeweza kushuka kabisa chini katika usawa wa mawimbi ya mapepo.

Mapepo yanafanya kazi kwenye mawimbi ya chini au nguvu ya chini kabisa, kwahiyo ili yakupate lazima ushuke chini katika usawa wao. Ushuke kinishati.

Mimi silogeki, nimejengwa kweli kweli ndani na nje, na pembeni yangu kuna viumbe wenye nguvu ajabu, UKITHUBUTU UTADATA.

Cc: DR Mambo Jambo min -me NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Rabbon Pascal Mayalla
Bas achana na habar zako zile za kugawana vijambio mkuu kama uko kwenye level hizo za juu
 
Nakubali chief. Umenena sahihi. Mimi binafsi kama isingekua umani yangu kwa Mungu bas tungekua tunaongea mengine hapa leo. Nishawindwa sana kuanzia kwa yf mpaka watoto. Only prayers keep us safe.
Mkuu haya mambo kama hayajamkuta mtu au kuona basi kuamini ni kazi sana

Imani na maombi yanasaidia sana, tuombe sana na kutoa sadaka sana
Mimi siogopi uchawi ila yapo sana na ni kuyapuuzia tu na kuomba Mungu tu
 
Mkuu haya mambo kama hayajamkuta mtu au kuona basi kuamini ni kazi sana

Imani na maombi yanasaidia sana, tuombe sana na kutoa sadaka sana
Mimi siogopi uchawi ila yapo sana na ni kuyapuuzia tu na kuomba Mungu tu
Ni kweli usemacho, nitakupa kisa kimoja kimejitokeza juz maskani.
Ni jiran yetu japo sio kivile, ni umbali kama wa mita 200 hivi toka nyumbani kwangu.
Alileta mganga wa kienyeji kwake. Nasema hivyo kwakua ni kawaida huku pwani. Bas usiku mtulivu yakaanza kupigwa manyanga na lugha zao zile zisizo eleweka kikawaida. Na kwakua ilikua usiku ile ibada yao sauti ikawa inasikika vizur sana.
Bas kwakua hatukua tumelala, tukasema haya mambo hayatuhusu ni yao ila sisi tujihakikishie usalama wetu just incase hiz spirit zao zisituathiri maana hatujui wananuiza vitu gani lakin maadam ninkaz zinafanyika under this same same neighbourhood sky and earth kuna namna we need to take precautions in advance, hiz vitu zina impact.

Lets pray God protect us.
kwakua tulikua nje ya nyumba around saa 4 usiku, the we started praying for 20 minutes

Ghafla zile sauti na manyanga vika kata kimyaa.
Kesho jiran akatutumia ujumbe kwamba "tumegundua siri yenu, ni nyie, kwann mnatusumbua kwenye mambo yetu".

Hatukushangaa
 
NInavyo vingi sana vya kukuthibitishia binafs nilivtokutana navyo.
As per usual story zote za ushirikina ni hearsay tu. Wewe unasimulia kitu ambacho umesimuliwa. Either wewe au aliyekusimulia ni muongo.
Sijasimuliwa nilichosimuliwa bas nilichokiona kwa mtu ninayemjua vizuri sana.. licha ya kuwa ni jiran lakin pia amefanya kaz na yf pia kabla ya kuhama kituo cz yf pia ni mwalim
Ukitoa story za kijinga za hearsay hakuna ushirikina zaidi ya story story tu mara jana nimekabwa, sijui mtu katokea ukutani, mtu kapaa na ungo mtu kafufuka ndo story za kichawi zinavyoishi hivyo. Ukiulizwa wewe kama wewe nini umewahi kushuhudia na kuthibitisha huu ni ushirikina huna.

Kuamini story za namna hii inabidi na wewe dishi liwe limeyumba maana mtu timamu hawezi kubali kudanganywa kijinga.
Kwakua tyar u have a closed mindset, bas huna namna unaweza jifunza hiz mambo.
Naweza sema kwamba, you , respectfjlly have got no tallent to comprehend these stuffs
 
Mimi naamini unajuwa kabisa uchawi upo sema unaupotezea tu, ila deep ndani ya nafsi unafahamu vyema uchawi upo.
Watoto wa upanga, masaki na O'bey huku wana aunts and uncles in USA, uchawi wanaujulia wapi mkuu!!..

Amini usiamini ila kuna watu wengi uchawi, majini au kurogwa wanakusikia tu, hawajawahi kuona. So, ni kawaida.

Ila kwa sisi wengine, japo hatujashikilia hizo imani sana ila tumekulia kwenye mazingira ambayo ulozi upo so, hatusimuliwi na siwezi kusema haupo ili nionekane civilized. Uchawi upo ila si kila mtu lazma aamini upo
 
min -me huyu hapa kaka
Mkuu basi acha niseme ivi , ukweli kwako na kwa wengine sio lazima iwe ukweli kwa kila mtu, kwangu mimi ukweli ni kwamba hakuna uchawi .

Yani ni sawa usema ukweli kwa wachina nyoka ni chakula ,ila ukweli huo huo wa wachina ninuongo kwa waafrica nyoka sio chakula .

Posti yangu ya mwanzo ilikua imebeba maana kubwa ila ulichagua kutokuielewa mkuu 😁
 
NInavyo vingi sana vya kukuthibitishia binafs nilivtokutana navyo.

Sijasimuliwa nilichosimuliwa bas nilichokiona kwa mtu ninayemjua vizuri sana.. licha ya kuwa ni jiran lakin pia amefanya kaz na yf pia kabla ya kuhama kituo cz yf pia ni mwalim

Kwakua tyar u have a closed mindset, bas huna namna unaweza jifunza hiz mambo.
Naweza sema kwamba, you , respectfjlly have got no tallent to comprehend these stuffs

Mtu kuumwa na kupona ndo iwe uthibitisho wa ushirikina? Hata kama kasema ni ushirikina does that prove anything?

Nikiumwa malaria nikasema nimerogwa does that prove ni ushirikina kweli?

Wamatumbi hata umeme ukiwaka wanasema Mungu au ushirikina wao kila kitu ni muujiza. Kuamini jambo fulani ni ushirikina kisa tu mtu kasema au sababu hulijui ni uzwazwa.
 
Tufanye hivi... Sisi hatuamini uchawi...nyie mnaamini...full stop..
UMenena neno la busara na ungeishia hapa ingependeza sana
Msianze kusema hoo sijui Fulani na Fulani, hata mwamposa katikisa kawe ila haibadilishi fact kwamba ye ni tapeli tu kama magician na trickster wengine waliolewa mfumo.

So if unaamini uchawi upo ..upo kwa unayeamini..usilazimishe wengine kuamini upo.
Kama haupo na huwez thibitisha ni kwann uanze kuita watu matapel ?
 
Mtu akikwambia usitumie logic tayari anataka uwe mjinga Hilo ni tusi. Usikubali kuwa zwazwa even for a second ukaweka logic pembeni.
Kutoka katika zone moja kuingia katika zone nyingine haimaanishi zone uliyotoka haupo vizuri nayo.

So, mtu kukuambia usitumie logic haimaanishi uwe mpumbavu ila lazma uingie katika zone flani kuweza kuona unachotaka kuona. Ni kama ambavyo huwezi kutumia macho ya nyama kuwaona bacteria bila microscpe ndivyo hivyo huwezi kuona uchawi bila kufungua spiritual world.

Ni kama mtu akushutumu una virusi vya ukimwi kutokana na hisia na dalili, ndivyo hivyo mtu huhisi kuwa karogwa kutokana na matukio na hisia. Hivyo kuthibitisha lazma uingie katika zone fulani

Wa virusi ataingia maabara, wa ushirikina ataenda church au kwa waganga

So, kutumia logic kwa kitu kinachohitaji spiritual path. Ni sawa na kutumia microscope kuuona uongo. Does it make sense to you ?..
 
Back
Top Bottom