Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

2. Rais na Makamu wake wote wapigiwe kura siyo mmoja kupita kwa mgongo wa mwenzie


unaishi Tanzania? maana najua Tanzania mshindi anakuepo kabla ata ya kupiga kura.
 
Naunga mkono hoja 100%
 
Sasa huo uchaguzi si mtamchagua huyo huyo? Au unadhani Mboe ndo atashinda?
 
Aisee hawa bodaboda watakiwa kurudishwa nyuma zaidi ili waishie kimara tu
 
Huyo JPM ndio alikuwa anakubarika na wote?
AFRIKA TUNAJAZAGA NAFASI TU YA KILE KITI. HUKO MAGHARIBI WANAPINDUANA TU.
MNAMUONEA KWA SABABU NI MWANAMKE ?
HAO WALIOPITA WAMEFANYA NINI CHA MFANO WA KUTAJWA. HAKUNA SEKTA HATA MOJA ILIOJITOSHELEZA NA KUWA MFANO NDANI YA MIAKA 60.
HATA UKIWEKWA WEWE PALE HAKUNA CHA TOFAUTI UTAKACHOFANYA.
KITILA MKUMBO ALIKUWA MPINGAJI AKATEULIWA AWE WAZIRI WA VIWANDA, JE NCHI NI YA VIWANDA SASA HIVI?
KAA UJUE NCHI HAIJENGWI NA RAISI BALI WANANCHI.
KENYA WAMEBADILI KATIBA MARA NGAPI MBONA WANAPOPOANA MAWE TU?
SHIDA IPO KWENYE VICHWA VYA WATANZANIA WALA USIMUONEE RAISI. ATAKUJA RAISI MWINGINE MAMBO YATAKUWA HIVI HIVI MPAKA MINDSET ZIBADIRIKE.
KWA NINI MNAAMINI KTK MTU NYIE?
WEWE UMEFANYA NINI KTK ENEO LAKO, AU UNAONA MAPUNGUFU YA WENGINE TU.
SIKUPINGI KWA SABABU NI MIMI NI CCM SINA CHAMA.
 
Vyama vya siasa pia iwe fundisho kwao kuhusu kuchagua wagombea wazuri na wasomi kwenye nafasi za u-Rais na u-makamu wa Rais. Tumefikia hatua hadi Rungwe alitaka u-Rais, nchi ya hovyo sana hii.
 
Vyama vya siasa pia iwe fundisho kwao kuhusu kuchagua wagombea wazuri na wasomi kwenye nafasi za u-Rais na u-makamu wa Rais. Tumefikia hatua hadi Rungwe alitaka u-Rais, nchi ya hovyo sana hii.
Rungwe yupo vizuri upstairs. Huwezi kumfananisha na chawa wa CCM.
 
Nchi ya Kidemokrasia yenye Rais asiyetokana na kura za Wananchi.

Kwani akiamua kuuza Kila Kitu Kwa Wageni mtamfanyaje.

Katiba Mpya na Bora ni muhimu sana
Hapo ndipo unapokosea. Umesahau kuwa kwenye karatasi ya kupiga kura kulikuwa na picha mbili? Moja ya Rais na nyingine Mgombea Mweza ambaye anakuwa Makamu wa Rais? Kwa hiyo wakati unapiga kura kumchagua Rais na yeye anahesabiwa kura hiyohiyo. Acheni upumbavu wa kusema kuwa HAKUCHAGULIWA kwa kura.
 
Mkuu huko uliko mungu akuongeezee umri wa kuishi ili uendelee kutupatia Madini
 
Ni chuki tupu Raisi samia ni mzuri hata kuliko JPM, ila mwenye chuki na husda atamuona kama mbaya.
Samia sio mbaya kaka sema nchi inapigwa hadi aibu .
 
Umeandika mambo ya maana sana ila next time usiandike kwa capital letters tupu zinaumiza macho kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…