cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Shida ya unga ipo mkuu. Unazalishia wahalifu mji wa Wala unga haukaliki. Huwezi kusema naachana nao. Hebu imagine Kila Kona ya mtaani Kuna Teja!
Uhalifu au ujambazi ni case ingine, lakini mtu akitumia unga kwa starehe yake wala sio shida. Teja km hadhuru watu, hana shida.