Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Usikute kuna muhuni mmoja tu alitoa maelekezo haya yafanyike. Ameingiza ofisi zote kwenye shida
 
Siongelei hela na magari kwa mtu binafsi. Maharage kwao wako poa long time wala hategemei kazi za serikali kuishi poa.

Naongelea human capital na tapping potential.

Watanzania wengi mbona kila kitu mnaishia kuangalia pesa nyumba na magari?
Ni kweli asilimia kubwa watanzania Wana waza hela, nyumba na magari.

hawa elewi influence ya mtu ina pungua, aidha moja kwa moja au kwa njia yoyote Ile.

siasa si teuzi tu, ila ni long game plan hapo kasha anza kuchafua kitabu isije muharibia Baadae.
 
Kwa sasa unaweza kupata uteuzi serikalini kutoka private, ukafikiri umeula, kumbe ndiyo career yako inaenda kufa.

Look at Maharage Chande.
Inafikirisha sana, jamaa PS alikuwa mtendaji mzuri sana, maybe aliingia circle ya watoto wa town wakamfundisha umafia.
 
Maharage na Januari inafaa wawe chini ya ulinzi, wanyang'anywe paspot zao haraka wachunguzwe kwa tuhuma za kuhujumu JKNHP
 
Inafikirisha sana, jamaa PS alikuwa mtendaji mzuri sana, maybe aliingia circle ya watoto wa town wakamfundisha umafia.
Ukiingia serikalini ushaingia kwenye nfumo wa ki Mafia, kukubali appointment tu ni setting yourself for failure.

Ni vigumu sana ku maintain utendaji wa Private Sector serikalini.

Tatizo sasa inawezekana uteuzi wenyewe unausikia redioni, halafu ukiukataa umemuaibisha rais na kujitengenezea matatizo, inabidi ukubali tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…