Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Ndungilile alikuwa hana uwezo wa kuongoza ile wizara, ilishmshinda, chamuriho huyo ndo kabsa kati ya mawaziri ambao hawafahamik kabsa huyu ndo wa kwanza, ujenzi kunahekaheka ye yupo tu..kalleman timu Chato imemtoa pale..AG huyu hpana kwa kweli mama umefanya vizuri,
 
Hahahahah bongo bhana... we akili zako za makalioni unahisi mama hana taarifa sahihi juu ya teuzi hizi? Unataka kusema ww intelejensia yako ni nzuri kuliko ya Mh Rais.
 
Tanesco ni utility company hawauzi vifaa vya umeme lile ni shirika linalotoa/linalouza huduma na sio shirika linalouza vifaa. Ukielewa hilo hutatoa hoja zako hizo.
 
Mkuu mtu anaehitaji service line ya pole to bracket within 30 meters alipie 27,000/- na anaetaka kufanya extension ya LT meter 300 nae alipie 27,000/-?

Hiyo ni feasible mzee?
Nimekuta kule wilaya ya Uvinza, Kigoma, vijiji vya mwambao wa ziwa Tanganyika Rukoma, mgambo, Buhingu etc kuna private company wenyewe wanasambaza umeme wa Solar. Wao ukitaka umeme wao wanakuletea wenyewe na kuingiza nyumbani kwako for free, wewe kazi yako ni kulipa bili zao basi. Imagine hao ni private company hawana cha ruzuku wala nini...
 
Watozonia tunataka Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi. Tumechoshwa na uhuni na ujambazi wa nchi hii wa miaka nenda miaka rudi. Tukishavipata hivyo ndiyo tuongelee uchaguzi wa 2025.
Hapana, safari hii CCM kuna tatizo kubwa ambalo ni vigumu wao kama wao kulitatua.

Nchi yaenda tu hadi 2025 ila CCM itambue kuwa mgombea wa 2025 si wa kutoka bara maana tayari wameagizwa mambo yaende vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…