Jakamoyo msoga
Member
- Jul 18, 2019
- 76
- 304
Alikuwa anatuibia eti ni kuamua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anatuibia eti ni kuamua
Badili mtazamo wako wa kufikiri,Hakuna viumbe dhaifu Kama kina mama broo, unaona tunavyo yumba sa Iv?? Kama gari limekata center bolt..
Hizo tarehe zilizopo kwenye barua ni tofaut??
Hahahahah bongo bhana... we akili zako za makalioni unahisi mama hana taarifa sahihi juu ya teuzi hizi? Unataka kusema ww intelejensia yako ni nzuri kuliko ya Mh Rais.Kunatatizo kubwa Sana Sana kwa taasis, ama madam hajaenea vzr au anaongozwa na watu ambao wanamwendesha kimawazo au anasukumwa na jenda issues,
Sasa unamtoa kwel kalamani et unatengua uteuzi wake, au ndugulile is she seriously?? Hii nchi imekosa kwel watu wakumwambia madam hili hapana unakosea;, kwel wazir wa ulinz unamweka tax??
Chifu anaondoa mamlukiKalemani kakosea nini?...Hapo Mimi sijaelewa kwa kweli.
[emoji23][emoji23],kwanini mkuu?Tujiandae na kelele za majenereta. Mungu wa mbinguni asaidie taifa hili.
Tanesco ni utility company hawauzi vifaa vya umeme lile ni shirika linalotoa/linalouza huduma na sio shirika linalouza vifaa. Ukielewa hilo hutatoa hoja zako hizo.Ata hiyo elf 27 bado ni nyingi. Maana kuna makato kibao kila ukinunua umeme. Au wa weke kukatwa kiasi fulani cha hela kwa mwezi kufidia hizo nguzo. Suala la kulipia nguzo alafu inabakia kua nguzo yao ni wizi huo. Kama vipi waseme kabisa nguzo ni ya mteja
Nothing new, even in RSA the MoD is a female.Women are stronger than men. Believe it
Nimekuta kule wilaya ya Uvinza, Kigoma, vijiji vya mwambao wa ziwa Tanganyika Rukoma, mgambo, Buhingu etc kuna private company wenyewe wanasambaza umeme wa Solar. Wao ukitaka umeme wao wanakuletea wenyewe na kuingiza nyumbani kwako for free, wewe kazi yako ni kulipa bili zao basi. Imagine hao ni private company hawana cha ruzuku wala nini...Mkuu mtu anaehitaji service line ya pole to bracket within 30 meters alipie 27,000/- na anaetaka kufanya extension ya LT meter 300 nae alipie 27,000/-?
Hiyo ni feasible mzee?
Ndugulile atafata siku si nyingiWizara ya afya bado hajaitendea haki, tulitarajia mabadiliko makubwa
Hapana, safari hii CCM kuna tatizo kubwa ambalo ni vigumu wao kama wao kulitatua.
Nchi yaenda tu hadi 2025 ila CCM itambue kuwa mgombea wa 2025 si wa kutoka bara maana tayari wameagizwa mambo yaende vipi.
Kabisa mkuu, inawezekana hiyo..Kwa nini isiwezekane?Materials yote wananunuliwa na serikali(nguzo,mita).
Hata bure inawezekana sema tu walizoea kupiga hela
Naunga mkono hojaTotally unfit for the position