Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Kunatatizo kubwa Sana Sana kwa taasis, ama madam hajaenea vzr au anaongozwa na watu ambao wanamwendesha kimawazo au anasukumwa na jenda issues,

Sasa unamtoa kwel kalamani et unatengua uteuzi wake, au ndugulile is she seriously?? Hii nchi imekosa kwel watu wakumwambia madam hili hapana unakosea;, kwel wazir wa ulinz unamweka tax??
Hahahahah bongo bhana... we akili zako za makalioni unahisi mama hana taarifa sahihi juu ya teuzi hizi? Unataka kusema ww intelejensia yako ni nzuri kuliko ya Mh Rais.
 
1631475387982.png
1631475477121.png
 
Ata hiyo elf 27 bado ni nyingi. Maana kuna makato kibao kila ukinunua umeme. Au wa weke kukatwa kiasi fulani cha hela kwa mwezi kufidia hizo nguzo. Suala la kulipia nguzo alafu inabakia kua nguzo yao ni wizi huo. Kama vipi waseme kabisa nguzo ni ya mteja
Tanesco ni utility company hawauzi vifaa vya umeme lile ni shirika linalotoa/linalouza huduma na sio shirika linalouza vifaa. Ukielewa hilo hutatoa hoja zako hizo.
 
Mkuu mtu anaehitaji service line ya pole to bracket within 30 meters alipie 27,000/- na anaetaka kufanya extension ya LT meter 300 nae alipie 27,000/-?

Hiyo ni feasible mzee?
Nimekuta kule wilaya ya Uvinza, Kigoma, vijiji vya mwambao wa ziwa Tanganyika Rukoma, mgambo, Buhingu etc kuna private company wenyewe wanasambaza umeme wa Solar. Wao ukitaka umeme wao wanakuletea wenyewe na kuingiza nyumbani kwako for free, wewe kazi yako ni kulipa bili zao basi. Imagine hao ni private company hawana cha ruzuku wala nini...
 
Watozonia tunataka Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi. Tumechoshwa na uhuni na ujambazi wa nchi hii wa miaka nenda miaka rudi. Tukishavipata hivyo ndiyo tuongelee uchaguzi wa 2025.
Hapana, safari hii CCM kuna tatizo kubwa ambalo ni vigumu wao kama wao kulitatua.

Nchi yaenda tu hadi 2025 ila CCM itambue kuwa mgombea wa 2025 si wa kutoka bara maana tayari wameagizwa mambo yaende vipi.
 
Back
Top Bottom