Koma kutuzalilisha wanawake no one is perfect tumgekuwa dhaifu tusingekuwa hatuzai kwa uchungu, pia binadamu yoyote yule ana weakness zake regardless of gender.Hakuna viumbe dhaifu Kama kina mama broo, unaona tunavyo yumba sa Iv?? Kama gari limekata center bolt..
Mkuu unamaanisha ile biashara ya majenerata itaibuka upya?Kalemani is out. soon nchi itaingia gizani kama ilivyokuwa enzi za JK. watoto wa mjini wamekamata nchi
HahahahaDah hizi teuzi sijui zitanifikia lini na Mimi Nile shushu kidogo maana sijawahi kupanda wala kuendesha/endeshwa na Vieitee ..unayijua mavieitee wewe??
Hangaya apart na Kupewa Uchifu wa Wakuu Wa machifu Wote wa Kisukuma lakini Still anawaondoa Wasukuma Kwenye position zao.Kalemani is out. soon nchi itaingia gizani kama ilivyokuwa enzi za JK. watoto wa mjini wamekamata nchi
Mchezo upi?Nilijua kwa Kalemani. Huo mchezo wao walioufanya umemkost. Bado Majaliwa maana nae ana mkono katika hili
Hivi mnaamini kabisa kuna siku mwigulu atakua Rais?Urais 2025
Mwigulu vs January.
Wafuasi wa Mwigulu leo wamepata pigo kubwa sana kusikia dogo January kafufuka tena.
Watatukana matusi yote.
Kwa hiyo Feleshi na Stegomena Tax sio wasukuma? Jipange sana sukuma gang sio kabila! Sema anatoa sukuma gang! Wasukuma hawezi kuwatoa! Kaingiza wawili!Hangaya apart na Kupewa Uchifu wa Wakuu Wa machifu Wote wa Kisukuma lakini Still anawaondoa Wasukuma Kwenye position zao.
Katika Wateuliwa Mawaziri Wa5, Akina Mudy Wako Wa5 na Akina John Yuko Mmoja Pekee.
Hakika Hangaya anaupiga Mwingi [emoji3][emoji3][emoji3]
Kakurupuka Hawa wanasiasa ni plagiarist walkutoshaHapa nikusahihisehe kidogo. Aliyewahi kutamka maneno haya kwa mara ya kwanza ni mwanasayansi mahiri wa karne ya 20, Albert Einstein (1879-1955)
Your staff can help solve business problems
Your staff care about your business - they spend every day there. They have great ideas on how to solve business problems. Ask them.articulous.com.au
Yeaaaah!Bado Nape, naye akae mkao wa kula.. Muda wao huu sasa, kutesa kwa zamu.
KhaaaaaaMbowe sio gaidi jamani sisi hizi teuzi hazituhusu
Muda wao akina nani?Bado Nape, naye akae mkao wa kula.. Muda wao huu sasa, kutesa kwa zamu.
Tena sasa hivi mgao utaanza ili wapate sababuMkuu unamaanisha ile biashara ya majenerata itaibuka upya?
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji482]Hangaya apart na Kupewa Uchifu wa Wakuu Wa machifu Wote wa Kisukuma lakini Still anawaondoa Wasukuma Kwenye position zao.
Katika Wateuliwa Mawaziri Wa5, Akina Mudy Wako Wa4 na Akina John Yuko Mmoja Pekee.
Hakika Hangaya anaupiga Mwingi [emoji3][emoji3][emoji3]
Time will tell..Mkuu unamaanisha ile biashara ya majenerata itaibuka upya?
Bei ya luku jombaa mama anataka uzarendo wa kubebesha mzigo masikini yeye anashusha pumbavuu zake piga chiniKilichomtoa Ndugulile ni nini sasa?
Hao ni bosheni.....Suk ya kimkakati lkn ni msogeeer.....hao toka enzi wapo...Foleshi na Tax sio sukumagang?
KabisaHao ni bosheni.....Suk ya kimkakati lkn ni msogeeer.....hao toka enzi wapo