cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Koma kutuzalilisha wanawake no one is perfect tumgekuwa dhaifu tusingekuwa hatuzai kwa uchungu, pia binadamu yoyote yule ana weakness zake regardless of gender.Hakuna viumbe dhaifu Kama kina mama broo, unaona tunavyo yumba sa Iv?? Kama gari limekata center bolt..
N. B naomba ututake radhi wanawake maana una stereotype mbaya towards women.