Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Hakuna viumbe dhaifu Kama kina mama broo, unaona tunavyo yumba sa Iv?? Kama gari limekata center bolt..
Koma kutuzalilisha wanawake no one is perfect tumgekuwa dhaifu tusingekuwa hatuzai kwa uchungu, pia binadamu yoyote yule ana weakness zake regardless of gender.
N. B naomba ututake radhi wanawake maana una stereotype mbaya towards women.
 
Kalemani is out. soon nchi itaingia gizani kama ilivyokuwa enzi za JK. watoto wa mjini wamekamata nchi
Hangaya apart na Kupewa Uchifu wa Wakuu Wa machifu Wote wa Kisukuma lakini Still anawaondoa Wasukuma Kwenye position zao.

Katika Wateuliwa Mawaziri Wa5, Akina Mudy Wako Wa4 na Akina John Yuko Mmoja Pekee.

Hakika Hangaya anaupiga Mwingi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hangaya apart na Kupewa Uchifu wa Wakuu Wa machifu Wote wa Kisukuma lakini Still anawaondoa Wasukuma Kwenye position zao.

Katika Wateuliwa Mawaziri Wa5, Akina Mudy Wako Wa5 na Akina John Yuko Mmoja Pekee.

Hakika Hangaya anaupiga Mwingi [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hiyo Feleshi na Stegomena Tax sio wasukuma? Jipange sana sukuma gang sio kabila! Sema anatoa sukuma gang! Wasukuma hawezi kuwatoa! Kaingiza wawili!
 
Hapa nikusahihisehe kidogo. Aliyewahi kutamka maneno haya kwa mara ya kwanza ni mwanasayansi mahiri wa karne ya 20, Albert Einstein (1879-1955)

Kakurupuka Hawa wanasiasa ni plagiarist walkutosha
 
Nchi hii inahitaji mabadiliko makubwa sana na ambayo yatakuja at a higher price..mama ni kama anawasagia kunguni all the future female president wannabes...yeye kama mwanamke wa kwanza tanzania kushika uraisi..angefungua njia kwa wanawake wengine..kwa kuacha legacy ambayo itakuwa benchmark ya wanaokuja..so far wanawake uraisi sio anytime soon..
 
Hangaya apart na Kupewa Uchifu wa Wakuu Wa machifu Wote wa Kisukuma lakini Still anawaondoa Wasukuma Kwenye position zao.

Katika Wateuliwa Mawaziri Wa5, Akina Mudy Wako Wa4 na Akina John Yuko Mmoja Pekee.

Hakika Hangaya anaupiga Mwingi [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji482]
 
Watanzania sasa ndio muelewe kwamba kifo cha Jiwe kilikuwa cha kimkakati
 
Kanda yaziwa itulie kidogo sasa...huruma kwa chato washkuru tu umeme ulishazama kilachocho!!!
 
Back
Top Bottom