Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Haiwezekani wateja kulipia 27 elfu kuunganishwa ? mbona hata bure inawezekana ? Ukizingatia mita na nguzo ni mali yao na kuunganishwa watu wanapata faida zaidi ya watumiaji unadhani baada ya Bwawa la Nyerere kumwaga hizo megawatt tutazipeleka wapi ?
Mkuu mtu anaehitaji service line ya pole to bracket within 30 meters alipie 27,000/- na anaetaka kufanya extension ya LT meter 300 nae alipie 27,000/-?

Hiyo ni feasible mzee?
 
Sukuma Gang inapukutishwa kimtindo.
 
Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.


Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
Kwa nini isiwezekane?Materials yote wananunuliwa na serikali(nguzo,mita).
Hata bure inawezekana sema tu walizoea kupiga hela
 
Kunatatizo kwenye taasisi ya uRais, na nnavyo ona kwa Sasa Kama si kushauliwa vibaya Basi makusudi, hiv kwa nn hajari?? Au kwa kuwa agenda kwake ni priority?? Hv hatuna mtu, au watu wa kusema hapana?? Naonza kuona utabil wa g.world unatimia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…