britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kongole maana yake nini?Safi sana, kongole kwa wote walioteuliwa hasa Mh. Makamba, huwa nina imani kubwa sana juu yake
Hiyo kulipia 27,000 haukuwa uamuzi wa Kalemani pekee huko ni kumuonea, serikali ilifanya hivyo ili watu wengi wapate umeme halafu wapigwe tozo za majengo kupitia Luku, mengine tuyaache tu yapo mengi nyuma ya pazia, ulikuwa ni muda tu Kalemani arudi Chato.Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.
Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
SanaUlinzi kachemsha
Mkuu sa iv serikal inaongozwa kutokea sehem nyingne, watu Wana interest za 2025... Bt makamba hafai na haenei kabisa kwenye hicho kiti, ndo ujue Sasa where we are approaching...Kilichomtoa Ndugulile ni nini sasa?
[emoji106][emoji106]Naona vasco da gama wa msoga anazidi weka chama lake
Huwezi jua ya mbeleni utashangaa amekua waziri tena kwenye wizara tofauti mabadiliko kwenye ujenzi sawa.Chamulilo kapooza Sana aiseeKwa Kalemani mama kapotea huyo jamaa kapiga sana kazi.
Sis tunataka bwana matozo atolewe hatumtaki
Ni zamu ya waislamu na wazanzibar . Mbarawa ni Mzanzibar .Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kafanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri na kuwatoa baadhi ya Mawaziri!
1. Fautine Ndugulile katolewa na nafasi yake inachukuliwa na Dr Ashantu Kijaji!
2. Waziri wa Ujenzi ni Mh Mbarawa
3. Waziri wa Nishati ni Mh January Makamba na nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Dr Eliezer Feleshi,pia Waziri wa Ulinzi ni Dr Tax
Tena sio kidogo, ngoja tuone!Ulinzi kachemsha
Sio Majaliwa tena? 😀Naona vasco da gama wa msoga anazidi weka chama lake
Mungu yu mwema aisee ,Mama piga kazi ,uliona wapi tangia uhuru zaidi ya nusu ya baraza la mawaziri ni kabila moja ,tena mama naona kaamua kuwaacha tu wengine waendelee ,angesafisha wote ,hii nchi ni yetu wote ,Asante saaana Rais wetu mpendwaTunarudi kule kule.
Namuona uncle nape nae anapiga jaramba...
Anaandaliwa huenda ndiye ajayeMakamba ameula, Mkeka umechanika
Wewe mwenyew ni mama utachanganya vipi mama kubwa wew?Nitakuchanganya wewe na mama yako! Wote jora moja nitawatoa upepo!