Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Tena sana! Yaani huyu Maza awe anapewa salute na kina Mabeyo?? Anyway kwa kuwa Waziri wa Ulinzi ni kama pambo tu, mwenye say ni CDF kunako wizara yao
Kwan Mabeyo hampi Salute Samia , hawapi salute mawaziri wanawake wakina Ummy?
 
Ukiondoa uteuzi wa waziri wa Ulinzi, tengutengua zingine zinahitaji maelezo ili wananchi waelewe.

Yaani serikali yajifanyia mambo yake inavyoona inafaa huku ikisalimu amri kwa mashinikizo kutoka upande ule.

Pole nyingi ziwaendee watanzania wanyonge.
 
Kwahiyo kesho usafiri hawana!! Life is unpredictable
 
Feleshi kuwa AG nayo ni mambo ya kutia aibu sana ! hivi hakuna wengine ?
 
Huyo Doc Faustine alipwaya hiyo wizara iliyoanzishwa kisiasa na jiwe yani kutoka stethoscope hadi mambo ya WLAN kweli nchi imechezewa sana na CCM.

Ni under utilization ya resources yani nchi ikakosa wataalam wa tehama hadi tabibu akae kwenye tehama?
 
Ulinzi kachemsha
Ulitaka awe Mwanaume?? Huyo mama ni Mbobezi wa masuala kibao. Juu ya hilo waziri wa ulinzi hana madaraka makubwa maana amri kuu zote hutolewa na Rais ni kama waziri wa mambo ya ndani.
 
Huyu arudi kwenye medical professional yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…