UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

Kwa ajili ya Misa nyingine sio? By the time mnamaliza mkitoka nje unapewa taarifa mandondo atapangiwa kazi nyingine.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Maharage seems to be a failed man. Why then the appointee dont dump him into a TRUSH BIN??

Hii katiba yetu licha ya kwamba inampa mamlaka makubwa sana Rais, lakini at the same time inamfanya aonekane ni mtu wa KUPUYANGA.
Wamemtoa private sector akiwa na package kali tu kila mwisho wa mwezi. Nadhani alivyoletwa kwenye sector ya umma, kati ya makubaliano nae ilikuwa kumuhakikishia job security. So Maharage tuko nae sana tu ndugu yangu.
 
Ni kweli kwamba Teuzi zinafanyika , lakini za safari hii ni Kiboko !

Ulanga aliondolewa Juzi TTCL , leo karejeshwa tena , sasa hatujui shida ilikuwa wapi ? bali tunaona kwamba uteuzi wa namna hii unapaswa kuwekwa kwenye vitabu vya Kumbukumbu .



Tahadhari : Mkubwa Hakosei
 
Maharage seems to be a failed man. Why then the appointee dont dump him into a TRUSH BIN??

Hii katiba yetu licha ya kwamba inampa mamlaka makubwa sana Rais, lakini at the same time inamfanya aonekane ni mtu wa KUPUYANGA.
Kwamba shida/tatizo ni huyo Maharage? Acheni hizo bwana, sote tunajua tatizo lilipo...tunalifumbia macho tu.
 
Yaani Maharage wamemtafutia nafasi kwa nguvu, mbona posta master alikuwa vizuri sana! Yaani wameangalia wapi pana mtu ambaye hana Godfather, ila tunaamini cha mtu huwa hakipotei. Maharage is a tota failure anapaswa awe jela
 
Watu wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.
Maneno hayo yamedhihirishwa na Serikali ya Awamu ya sita na kudhihirisha ule usemi wa kuruka ruka kwa maharage ndo Kuiva kwake!.

Baada ya Maharage chande kuliwa kichwa cha Mkurugenzi mtendaji TANESCO na kupewa UKURUGENZI MKUU TTCL leo Mchana ameliwa Tena kichwa na kupelekewa kuwa Postamasta mkuu na kunyang'anywa Medani ya UKURUGENZI MKUU..

HONGERA ENG.PETER ULANGA...
POLEE SANA MAHARAGE NDO MAISHA YALIVYO..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…