UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

Anaye teuwa anasubiri mwenyewe atenguliwe.

Hii siyo kawaida hata kidogo.

Hawa wanaoteuliwa na kutenguliwa kila siku wanafanya kazi lini?

Teuzi hizi ni za majaribio au kubahatisha, hazina utaratibu wowote unaofuatwa kujua ni wapi wanapostahili kuwepo?

Hii ni ishara muhimu sana kwamba huyu mama hawezi kitu.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:

Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)...
🀣🀣🀣🀣🀣 Yaani Nape hajamaliza kumkaribisha Jamaa kaliwa kichwa tena,si Bora aache kazi arudie dstv alikokuwa?
 

"Serikali kwasasa inafanya mapitio ya sheria ya utumishi wa umma Sura no. 298, sera ya Menejimenti ya ajira ya umma toleo la pili la 2008, kanuni ya utumishi wa umma ya 2022 na miongozo yake inayohusu masuala ya ajira"
~hayo yalisemwa Septemba 04, 2023 Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete
 
Nchi INA figisu kishenzi
 
Kwa hio unasema kwamba Maharage ni ........
 
Kuna jamaa atasema jina la MAHARAGE ndo linafanya maajabu haya ya kuruka ruka ili yaiveπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nchi ngumu hii jamani..
 
Huyu maharage atakuwa kampigia Mheshimiwa kujitetea siyo bure.

Sasa posta masta nani ataposti barua tena?

Au kazi ya kupokea barua za kuomba kazi, nazo ipo nini ile , mmmh karongwa
 
Aliyekuwa anamtumia kupiga porojo hapo TANESCO ana "magodfather" anapeta tu.

Mr Beans akija kushtuka kateuliwa u-gateman wa halmashauri ya Namtumbo DC.,😁😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…