Mnahangaika Sana."Upele umepata mkunaji"
Ndg Makonda, deal na kero zote za mkoa huo, sikiliza shida za wamama, tatua mgogoro kati ya maingiliano ya bajaji na daladala, kaza zaidi katika usalama wa mkoa, shughulika na kero za barabara, utafaulu.
-KAZI NJEMA.
-The system.
Truth must told, chadema kwishney...!Mnahangaika Sana.
Najaribu kukuelewa, japo si mjuvi wa haya mambo ila kwa juu juu tu kile cheo cha chama ni kizito, kinazunguka nchi nzima.Mnajifariji tu......Mwenezi alikuwa juu ya Mawaziri hadi PM anabow down.
Tuko pamoja sana kwenye hili! 😄Leo najisomea comments Tu 🥱
Ni wazi hili jimbo halitaponyoka tena. Wale waliotegemea kulichukua haitakua rahisi tena.
Tena tunamtaka ili tulichukue akiwepoNi wazi hili jimbo halitaponyoka tena. Wale waliotegemea kulichukua haitakua rahisi tena.
Kwa hiyo anaenda kulipwa hela ya serikali just kuhakikisha CCM inashinda huko..tena kwa hooks and crooks?"Upele umepata mkunaji"
Ndg Makonda, deal na kero zote za mkoa huo, sikiliza shida za wamama, tatua mgogoro kati ya maingiliano ya bajaji na daladala, kaza zaidi katika usalama wa mkoa, shughulika na kero za barabara, utafaulu.
-KAZI NJEMA.
-The system.
Makonda ni mtoto wa mjini aliwahenyesha mawaziri na wabunge, taifa zima lika mshangilia atashindwa hapo Arusha????Mleta mada unahisi Arusha ni tabora ya Lipumba
Yuko kwa wakwe zake hapoNi wazi hili jimbo halitaponyoka tena. Wale waliotegemea kulichukua haitakua rahisi tena.
Uko sahih lzm atagawana Jimbo Hilo na gamboNaona Makonda anaemda kugombea ubunge Arusha mjini, Kwa uzoefu wangu Arusha hakuna mwenyeji.
Kwani zamani alikuwa wapi, si huko huko serikalini?Watu awaelewi tu, ila ndo kashaingia serikalini ivyo.
Not this time. Take your time to know G. Lema well. He is a man of action and reaction.Ni wazi hili jimbo halitaponyoka tena. Wale waliotegemea kulichukua haitakua rahisi tena.
Hapana mwanzo alikua kiongozi wa chama tuKwani zamani alikuwa wapi, si huko huko serikalini?
Ufanisi na utatuzi wa changamoto mbalimbali kwa wananchi ndicho kipimo halisi, Sioni lema amefanya nini hapo arusha, katika ubunge wake, zaidi ya kuongoza ganja smokers kwenye maandamano!Not this time. Take your time to know G. Lema well. He is a man of action and reaction.
Acha niishie hapo.