econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mnahangaika Sana."Upele umepata mkunaji"
Ndg Makonda, deal na kero zote za mkoa huo, sikiliza shida za wamama, tatua mgogoro kati ya maingiliano ya bajaji na daladala, kaza zaidi katika usalama wa mkoa, shughulika na kero za barabara, utafaulu.
-KAZI NJEMA.
-The system.