Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

"Upele umepata mkunaji"
Ndg Makonda, deal na kero zote za mkoa huo, sikiliza shida za wamama, tatua mgogoro kati ya maingiliano ya bajaji na daladala, kaza zaidi katika usalama wa mkoa, shughulika na kero za barabara, utafaulu.
-KAZI NJEMA.
-The system.
Mnahangaika Sana.
 
Ni wazi hili jimbo halitaponyoka tena. Wale waliotegemea kulichukua haitakua rahisi tena.

Hilo uaji mnalipa sifa ambazo halina. Yaani lisababishe mtu aupate ubunge wakati lenyewe lilishindwa kuupata ubunge wa Kigamboni, tena lilidondoshwa ndani tu ya CCM kwenye kura za maoni.

Utakuwa muujiza wa maskini kumfanya maskini mwingine awe tajiri.

Marehemu alichoshwa na uchafu wake. Halafu wengine sahizi wanaliona ni lulu.
 
Naona Makonda anaemda kugombea ubunge Arusha mjini, Kwa uzoefu wangu Arusha hakuna mwenyeji.
 
"Upele umepata mkunaji"
Ndg Makonda, deal na kero zote za mkoa huo, sikiliza shida za wamama, tatua mgogoro kati ya maingiliano ya bajaji na daladala, kaza zaidi katika usalama wa mkoa, shughulika na kero za barabara, utafaulu.
-KAZI NJEMA.
-The system.
Kwa hiyo anaenda kulipwa hela ya serikali just kuhakikisha CCM inashinda huko..tena kwa hooks and crooks?
 
Not this time. Take your time to know G. Lema well. He is a man of action and reaction.

Acha niishie hapo.
Ufanisi na utatuzi wa changamoto mbalimbali kwa wananchi ndicho kipimo halisi, Sioni lema amefanya nini hapo arusha, katika ubunge wake, zaidi ya kuongoza ganja smokers kwenye maandamano!
 
Back
Top Bottom