Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Makonda DAMU YA MAGUFULI
wenye CHAMA(mafisadi)
wameona huyu mtu anairudisha LEGACY ya MAGUFURI kwa gharama zetu tunayojaribu kuifuta

Ila MAMA angekuwa anafanya Maamuzi mwenyewe angeendelea kumuacha MAKONDA katika uenezi hili kurudisha IMANI juu yake kwa wananchi
Tabu kazungukwa na MAFISADI na MAFISADI siku zote hawawezi kuwa wasafi lazima wakuchafue
Pole yake
 
Makonda DAMU YA MAGUFURI

Juzi tu kapiga watu marufuku.......hapa mjini bwana.
 
Wanagawana tu. Mkuu wa Mkoa ni cheo sawa na Waziri.
Hizi nafasi ulinganisho wake hutegemea na seniority yako... kwamba unatoka wapi unakwenda wapi!

Huwezi kutoka U RC ukapewa U DC ila unaweza ukawa Naibu waziri ukatupwa kwa U DC!

Hizi nafasi za kisiasa huwa hazina sana formality of seniority unless unaeteuliwa uwe unajitambua... kuna siku Batilda Buriani aliyewahi kuwa waziri alipewa U RAS!!!

Yule Christina mndeme alifikia ngazi kubwa sana CCM kuwa N/katibu mkuu akitokea kwenue U RC then akarudishwa kwa u RC tena kapewa unaibu katibu mkuu wa wizara!!

Afrika hakuna seriousness katika kupanga majukumu na malengo na watekelezaji. Watu wanatafutiwa kichochoro tu chakuendelea kula ugali.
 
Back
Top Bottom