Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi tu kapiga watu marufuku.......hapa mjini bwana.Makonda DAMU YA MAGUFURI
wenye CHAMA(mafisadi)
wameona huyu mtu anairudisha LEGACY ya MAGUFURI kwa gharama zetu tunayojaribu kuifuta
Ila MAMA angekuwa anafanya Maamuzi mwenyewe angeendelea kumuacha MAKONDA katika uenezi hili kurudisha IMANI juu yake kwa wananchi
Tabu kazungukwa na MAFISADI na MAFISADI siku zote hawawezi kuwa wasafi lazima wakuchafue
Pole yake
Kashushwa na kupewa Cheo alichokishushaMakonda kashushwa Cheo
Alichelewa sana ukutolewa, alitakiwa atoke na yule waziri wa mambo ya nnje.Kiukweli katika waimbaji wote wa zile Pambio huyu Joyce Ndalichako sikuwahi msikia kabisa!! Ukijumlisha na uprofesa na ni mwanamke hahahaha!
kabisa. wananchi wanapokea negative kuteuliwa kwa mkolomije!Mama amekosa washauri.
hapo Arusha kapelekwa kimkakati, ila kwa kuwa ana matamaa, ataishia kukosa vyoteAlienda hivyo hivyo kichwa kichwa tena akiwa na Sapoti ya Mzee Kigamboni na wakamlaza na viatu.
Mimi sina neno wala cha kuandika leo.
Mimi nawaza ile mikoa ya kusini ambako aliahidi kutudi itakuwaje sasa.Zile Ziara zote Nchi nzima na majivuno yoote haya ndio Matunda yake?
Hata miezi mitatu bado.
Na weekend tuHuyu Rais huwa anatengua na kuteua usiku tu?!!!
Hizi nafasi ulinganisho wake hutegemea na seniority yako... kwamba unatoka wapi unakwenda wapi!Wanagawana tu. Mkuu wa Mkoa ni cheo sawa na Waziri.
Sio kweli ukuu wa mkoa halafu awe nani? Kashushwa vibaya sana tena katupwa.Hy kimkakati ndo nasema analetwa serikalini mdogo mdogo.
Tulikuonya mara nyingi sana lakini ukatupuuzaMimi sina neno wala cha kuandika leo.
hapo kapelekwa kimkakati, ila matamaa yake ya kutaka ubunge yatamcost tenaLema kazi anayo 😂