Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Atakuja na Mihemuko na ataondoka na Mihemuko....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mama kashajichokea sana. Ameshatumikia Nchi kwa miongo mingi sana.Huwa nashangazwa na teuzi za wastaafu.
Vyeo vinafanywa kama zawadi kwa marafiki.
[emoji1787][emoji1787]Karibu,Nahama Arusha watu wa dar nipokeeni [emoji125][emoji125][emoji125]
Unaogopa nini?Nahama Arusha watu wa dar nipokeeni 🏃🏃🏃
Hivi unaakili kweli . Kwa hiyo uchaguzi wa 2025 haupo au uko mbele ya muda kwamba CCM amesha shinda uchaguzi wa 2025 unaelewa maana ya neno mkakati??Nimekuuliza mpaka sasa majimbo yoote, kata zoote,vijiji na mitaa ziko ccm
Sasa huo mkakati ni upi?
Jamaa Kala sana maisha.Makala hakika ana bahati mbaya
Kujiuxuru ni ajabu??Uliona Chongolonjia aliyoondoka nayo? Was that normal?
Jifariji ....uchaguzi ccm kushinda ni garanteeHivi unaakili kweli . Kwa hiyo uchaguzi wa 2025 haupo au uko mbele ya muda kwamba CCM amesha shinda uchaguzi wa 2025 unaelewa maana ya neno mkakati??
Bichwa kubwa akili ndogo .
Weeeee !!! Nilijua tu kwamba ile namba ya voda si bureAmemteua Lucas Mwashambwa kuwa chawa kiongozi jamiiforums.
Anyway tukiacha utani, Bashite kuna namna amegusa pasipogusika, na soon anaweza akarudi bench aendelee kuwa best loser!!
Hongera sana Lucas mwashambaAmemteua Lucas Mwashambwa kuwa chawa kiongozi jamiiforums.
Anyway tukiacha utani, Bashite kuna namna amegusa pasipogusika, na soon anaweza akarudi bench aendelee kuwa best loser!!
Kwa hiyo watu wakiharibu awaache tuHAya ndio anayo yaweza, hakuna kingine anacho weza.
Mwaka wa tatu still anaunda Serikali, Ruto ana mwaka mmoja kazini ila alisha achana na teua, tengua, hamisha, mwaka wa tatu Raisi anaunda Serikali.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Mhe.Ndejembi anachukua nafasi ya Mhe. Prof. Joyce Lazaro Ndalichako ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Alafu inaleta maana hiiKiukweli katika waimbaji wote wa zile Pambio huyu Joyce Ndalichako sikuwahi msikia kabisa!! Ukijumlisha na uprofesa na ni mwanamke hahahaha!
Labda.Wanagawana tu. Mkuu wa Mkoa ni cheo sawa na Waziri.
Sijui Lema ataongea nini??🤣Mrisho Gambo nyota yake inazidi kung'ara
Lema labda akimbilie Nusu mkate Moshi mjini
Nawatakieni Pasaka Njema 😄