Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Sukuma gang wanahamishwa sana, kauli za Makonda kuwa Magufulli asisahauliwe wakati wa mapokezi ya ndege Boeing 737 -max 9 zimemuudhi mwenyekiti wa CCM

26 March 2024
MAKONDA ACHAFUA HALI YA HEWA - ''KUNA UJINGA UNAENDELEA WA KUMTOFAUTISHA MAGUFULI NA RAIS SAMIA''

1711836355255.png
 
Nimekuuliza mpaka sasa majimbo yoote, kata zoote,vijiji na mitaa ziko ccm

Sasa huo mkakati ni upi?
Hivi unaakili kweli . Kwa hiyo uchaguzi wa 2025 haupo au uko mbele ya muda kwamba CCM amesha shinda uchaguzi wa 2025 unaelewa maana ya neno mkakati??
Bichwa kubwa akili ndogo .
 
Hivi unaakili kweli . Kwa hiyo uchaguzi wa 2025 haupo au uko mbele ya muda kwamba CCM amesha shinda uchaguzi wa 2025 unaelewa maana ya neno mkakati??
Bichwa kubwa akili ndogo .
Jifariji ....uchaguzi ccm kushinda ni garantee
 
Huyu mama Dkt Migiro siijui sura yake ila namsikia tangu nikiwa katoto alikuwa sijui nani huko ughaibuni!

Bado tu anapewa teuzi jamani, mwe! Hapa ndipo nakumbuka ile meme "vijana mbona sikuhizi hampishi wazee siti kwenye magari vijana wakajibu mbona wao wazee hawapishi vijana kwenye ajira!"
 
HAya ndio anayo yaweza, hakuna kingine anacho weza.

Mwaka wa tatu still anaunda Serikali, Ruto ana mwaka mmoja kazini ila alisha achana na teua, tengua, hamisha, mwaka wa tatu Raisi anaunda Serikali.
Kwa hiyo watu wakiharibu awaache tu
Acha Mama wa watu afanye kazi
 
Back
Top Bottom