Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri muda mchache baada ya kufanya mabadiliko

Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri muda mchache baada ya kufanya mabadiliko

Yaani Balozi Ami Mpungwe Mjumbe wa Mipango ? Haa Haa! Yaani vijana wote hao Tanzania hii,Mpaka wenye PhD za uchumi na Ma-Lectures wote hao wa vyuo Vikuu,Leo hii unamuweka huyo BABU Ami Mpungwe Mipango ? Mipango yake lazima ni ya kizamani.Hata nyumba zilizojengwa enzi zake akiwa active, au hata magari ya enzi zake yaliyokuwa ya Fashion,kwa sasa hayapo barabarani,sembuse yeye ! Huu ni utani wa watawala kwenye teuzi Muhimu ambazo zinahitaji mambo na watu serious.
 
Pia, Ami R. Mpungwe ambaye ni Balozi Mstaafu na Mjasiriamali

Balozi mstaafu Ami R . Mpungwe

R2t0TtJ0roM1iIyHw01dpUHUudoGoXT9aao9DULbIsk.jpeg

Ami R. Mpungwe

Chairman, Tanzania Chamber of Minerals and Energy.
1975, BA in Political Science and International Relations, University of Dar-es-Salaam; postgraduate diploma in International Law, University of Zambia; Certificate in Diplomacy, Wellington, New Zealand; executive programmes, University of Pretoria and Kagiso Leadership School.

Over 25 years with Tanzania Diplomatic Service: 1985-92, seconded to office of President of Tanzania; 1992-93, Director, Africa and Middle East, Tanzania Ministry of Foreign Affairs; 1994-2000, High Commissioner to South Africa, Botswana, Lesotho and Namibia.

Chairman: Tanzania Chamber of Minerals and Energy; TanzaniteOne; MultiChoice Tanzania.

Member of the Board: Illovo Sugar; National Bank of Commerce; Tanzania Breweries; NIKO Insurance; Kilombero Sugar; Zambia Sugar; Malawi Sugar; Council, University of Dar es Salaam.
 
Omar Issa ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO na Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandela
loading...


MR. OMARI ISSA
BOARD CHAIRMAN
Tanesco's board chairman.


Omari Issa :
Former Chief Executive Officer, Investment Climate Facility for Africa (ICF)
BSc (Hons), Polytechnic of Central London; MBA, Columbia University, New York. Formerly: Deputy Chief Engineer and Chief of Long and Short Term Planning, East African Posts; 14 years with IFC; six years with World Bank; 2000, Senior Vice-President, Business Development, Celtel; Executive Director and Chief Operating Officer, Celtel International, Netherlands, oversaw operations in 13 African countries. 2006, established fully-funded education foundation to support girls from secondary school to graduation from well recognized universities
 
Maryam Salim ambaye ni Meneja Mkazi wa Benki ya Dunia Nchini Cambodia
1693437812135.png

Bi. Maryam Salim - Benki ya Dunia / World Bank

Ms. Maryam Salim is the Country Manager of the World Bank for Cambodia. Ms. Salim has more than 20 years of experience in the World Bank, during which she has led a number of Program and Policy reform initiatives.

Prior to this position, Ms. Salim was Country Manager of the World Bank for Albania, and she held various other positions, including Advisor in the Office of the Chief Executive Officer and Senior Vice President for Operations. She worked also as Operations Advisor and Program Leader for Investment Project Financing. Ms. Salim joined the Bank as a Young Professional in 1998 and has worked in health and social protection programs in the Africa, Europe and Central Asia, and East Asia and Pacific Regions.

A Tanzanian national, she holds a Master's in International Economics and International Relations from the Johns Hopkins University's Paul H. Nitze School of Advanced Studies and a Juris Doctor from Georgetown University.
 
ais Samia amemteua Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Y. Sefue kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango

Wengine walioteuliwa kuwa Wajumbe wa Tume hiyo ni Omar Issa ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO na Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandela

Pia, Ami R. Mpungwe ambaye ni Balozi Mstaafu na Mjasiriamali pamoja na Maryam Salim ambaye ni Meneja Mkazi wa Benki ya Dunia Nchini Cambodia wameteuliwa katika nafasi hiyo



SAWA.
Lakini ifikie mahala watuteue na sisi ambao hatuna vyeo.

Maana teuzi nyingi wanateuliwa ambao tayari wana vyeo.
Anyway,it's nature.
"Mwenye nacho huongezewa ,na asiye nacho hata kile anachodhani anacho hunyang'hanywa".
 
Mimi naona huyu kiongozi wetu anachangamoyo za utimamu wa kiutendaji, haiwezekani asubuhi itangazwe naibu waziri wa kilimo halafu jion anabadilishwq kuwa naibu waziri wa mifugo na uvuvi. Inasikitisha kuwa na serikali ya bahati nasibu
Mkuu huenda anapata maelekezo kutoka mahali.
 
Back
Top Bottom