Mambo ya hovyo kabisa...
 
Hawa walitakuwa wateuliwe na Utumishi - Rais ana mamlaka yaliyopitiliza... na ndiyo maana tunataka kuipitisha katiba mpya ya Jaji Warioba.

Ukiangalia kwa makini wote hawa wana chembechembe za ukada wa Lumumba - na ndiyo wanakwenda kuwa wasimamizi wa chaguzi zote, hii pia ni changamoto nyingine na kubwa.
 
nani huyo mkuu. njoo inbox
 
Siyo Mwakabibi atakuwa anamzungumzia Sipora aliyekuwa kinondoni amepelekwa tanga jiji
Anaitwa MWAKABIBI mkuu alipata kuwa boss wangu nikiwa Temeke kabla ya kuhamia Simiyu.
 
Mvinyo uleule kwenye chupa ileile ila kwenye boksi jipya.
 
Ndugu yangu nchi imerudi kuhodhiwa na wachache. Zama za ubwanyenye zimerudi kwa kasi na MADED wote unaowaona hakuna mnyonge hata mmoja. Wote wametoka kwenye familia za wakubwa wenye anuani hapa mjini...
michuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…