Teuzi zinaendelea
Kazi iendelee.
Kasema mama yenu.
Mi nani nipinge👏👏👏
 
Wakurugenzi pigeni kazi acheni Bavicha wanune. Mkishindwa, mseme tuje kuwasaidia
 
ulitaka vip.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mmeshaambiwa kazi iendeleeee..
1. Familia ya NNAUYE
2. Familia ya Kijazi
3. Familia ya Michuzi
4. Familia ya Laay
5. Familia ya Gama
6. Familia ya Mavura
7. Familia ya Zelote Stephen
8.
9.
10.

NB: Ikulu ya Magogoni imepunguza umakini kwenye kukagua mikeka kabla kutolewa.
(à) Lutengano: kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza
(b) Dollar Kusenge: kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe
 
Mnaowafahamu hawa wateule, je Ukada wa CCM kma alivyokuwa Magufuli umeendelezwa na Samia? Professionalism imezingatiwa? Au ni mwendo wa kichama, makada?

Lakini kwa Samia nowadays ataweka rekodi ya uchama ......
Dollar Kusenge pale Ujiji Kigoma ni mwanakijani kindakindaki. Yani huyo ukikata mshipa utakutana na damu ya kijani
 
Wekeni PDF ambayo majina yanasomeka vizuri waungwana
 
Labda Mayalla anaitwa dolla siku hizi
 
Mmh wakiteuliwa na utumiashi ndio kutakuwa na balaa zaidi ya Hilo. Bora raisi aendelee tu kuteua
 
Tatizo ni kuwa yeye ameshakuwa mtumishi wa umma, kwa kawaida sasa anatakiwa afanye hand over then aka report kwa RAS na kupewa dawati (desk officer) uzuri tu ni kwamba mshahara wake hautaathiriwa kwa namna yyt isipokuwa shida itakuwa kwenye marupurupu kama fedha za utilities, simu, safari, funitures, nyumba ect ambazo kimsingi ndizo zinawafanya watu wapange foleni kwa waganga.

Kama anahitaji kurudi kwenye kazi yake ya awali anaweza ku resign serikalini na kurudi kwenye kazi yake ya awali.
 
Mnaowafahamu hawa wateule, je Ukada wa CCM kma alivyokuwa Magufuli umeendelezwa na Samia? Professionalism imezingatiwa? Au ni mwendo wa kichama, makada?

Lakini kwa Samia nowadays ataweka rekodi ya uchama ......
Dini ndio imekuwa kigezo kikubwa.

Pwani, Chalinze, Mkuranga na maeneo kama hayo yote tulipendekeza asipelekwe Mkristo kwasababu hawezi kutenda haki sana kwa Waislam au hata kushughulika na shida zao.

Pia katika kikao cha mwisho tuliona tuwape Waislam (Dini ya hakhi) nafasi zaidi za teuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…