😂😂😂Umesahau story za ka- daudi kumuangusha Goliath
Baada ya mwaka shuhuli inaisha anarudi nyumbani kupumzika kama nchimbiFupa hilo ametupiwa.😄
Huwezi jua ya Mungu mengi na hujafa hujaumbika...Uko anapiga kazi mwaka mmoja mama anamtumbua😊
Lands minister William Lukuvi announced in December that he was suspending Mr Mchechu to pave the way for investigations into various allegations which include abuse of office. Mr Lukuvi then tasked the NHC board of directors under the leadership of Ms Nyoni to conduct the investigations and handover the report to him.Nehemia Mchechu NHC tena? Ni sababu zipi zilipelekea kutumbuliwa? Hazikuwa genuine?Hivi hakuna watanzania wengine?
Mbinu ya kumpokonya ubunge🤣Uko anapiga kazi mwaka mmoja mama anamtumbua😊
Tulieni hivyo hivyo....Kwanini ni dharura hivyo? Msechu wa NHC alifukuzwa na JPM na Samia leo anapewa nafasi ile ile na Samia?
Mwenye kufahamu Samia anakutupeleka anielewesha tafadhali, mimi ninaona kama tunapotea njia.
Subiri tuone....Aisee mama samia Yuko very smart and very calculated😊
POLEPOLE KUWA BALOZI MALAWI… kuteuliwa tarehe 14.3.2022 kuapishwa tarehe 15.3.2022 ?
Kwanini ni dharura hivyo? Msechu wa NHC alifukuzwa na JPM na Samia leo anapewa nafasi ile ile na Samia?
Mwenye kufahamu Samia anakutupeleka anielewesha tafadhali, mimi ninaona kama tunapotea njia.
Ila pia ushirika wa wachawi haudumu!Nafikiri sasa ataelewa msemo wa "wahuni sio Watu"
Ameteuliwa leo na kuapishwa ni kesho..yani hajapewa hata nafasi ya kujitafakari kuhusu uteuzi....na pia ameteuliwa kuwa balozi na hapo hapo vuai nahodha ameteuliwa kuchukua nafasi ya pole pole...amepewa options ngumu sana hapo polepole..lazima akubali tu hio teuzi maana mbadala wake ameshateuliwa tayariHaendi huyu,anakataa ,mtaona kesho kama atatokea kuapishwa,na akienda malawi...kwisha habari yake...
Hawezi kugoma sababu kabla ya kutangazwa hua wanaongea nao kwanzaNdio imeisha hiyo.
Polepole sasa akapumzike.
Kama ni mwamba basi akatae huo uteuzi.