Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

Huyu mama uzenji na udini umemkaa sana, yani Tanganyika hakuna mtu wa kuongoza TPDC ya watanganyika mpaka atuletee nduguye?!
 
mafuta ni nishati,waziri wa nishati ni mmoja tu J.Y makamba ,so nishati ni ya muungano,mafuta ni nishati
 
Hivi yule mama anye ni engineer wakati wa magufuli alikuwa mkurugenzi wa NHC amefichwa wapi. Naona kama Msajili hazina ni nafasi ya transition tu kwa nehemiah.Nehemia ni msoga golden boy.

Tpdc mataragio ameshindwa kuendana na kasi ya Mama. Kuna wadau muhimu wako znz wanatoa ushauri kuhusu mafuta na gesi inbidi wapewe nafasi.

Ila katika viumbe wana kibali na nyota kali ni mchechu. Maana jiwe alisahausahau kumuweka mahakama ya mafisadi kwa kasi ya magufuli mcheche was a soft target kumpeleka mahakamani kwa ufisadi sema mungu wake ni anatenda sana.
 
Kweli Mkuu maana walipogundua mafuta Zenji Dr Shein akasema mafuta siyo ya Muungano.Sasa uyu anakujaje kuongoza Shirika la mafuta Bara!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…