Bw. Mgonya Benedicto ambaye atapangiwa kazi nyingine
Toka maktaba :
06 Agosti 2021
Kabla ya uteuzi huo, Bw. Benedict alikuwa Meneja wa Masuala ya Fedha na Madeni, Benki Kuu ya Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bw. Mgonya Benedicto ambaye atapangiwa kazi nyingine
Wewe mbususu Tanzania ukiitoa zanzibar inaitwajeHakuna nchi inayoitwa Tanganyika usiwe kiazi
Ngoja tumuulize makala kama kuna waluguru wanaitwa makame🤣Makame si waluguru wa Morogoro hao
Kwa uelewa wako, kuwa DG wa NHC na kuwa Msajili wa Hazina, wapi kuna maslahi mazuri zaidi?
Bw. Mussa Mohammed Makame, kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Kabla ya uteuzi huo, Bw. Makame alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC),
boss mpya shirika la nyumba[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
1. Amemteua Bw. Nehemia Kyando Mchechu, kuwa Msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mchechu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Bw. Mchechu anachukua nafasi ya Bw. Mgonya Benedicto ambaye atapangiwa kazi nyingine.
2. Amemteua Bw. Hamad Abdallah, kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Kabla ya uteuzi huo, Bw. Abdallah alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Gimcoafrica Limited na anachukua nafasi ya Bw. Mchechu ambaye ameteuliwa kuwa Msajili wa Hazina.
3. Amemteua Bw. Mussa Mohammed Makame, kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Kabla ya uteuzi huo, Bw. Makame alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), na pia ni Mshauri Mwelekezi wa masuala ya mafuta na gesi nchini Tanzania. Bw Makame anachukua nafasi ya Dkt. James Mataragio ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Uteuzi huu ni kuanzia tarehe 24 Februari, 2023.
View attachment 2528416
Tupe mapendekezo ulitaka mtu atoke wapi?Mtu anatoka Gimco. Kikampuni cha kijanjakijanja na kuwa Mkurugenzi wa NHC? Maajabu aisee.
Siyo Matarajio. Ni Mataragio.Matarajio keshaliwa kichwa huko,Bado Kadogosa 😁😁
Mtu anatoka Gimco. Kikampuni cha kijanjakijanja na kuwa Mkurugenzi wa NHC? Maajabu aisee.
Ni mzuri kwenye maswala bankingHivi Mchechu ni mzur kwenye nin
Hakuna mzanzibari hapo wote ni watanganyikaWivu gani?
Nyie wazanzibar mnatuharibia nchi , muda si mrefu Tanganyika itaanzwa kuomba kupitia vuguvugu , maana Teuzi nyingi anayependekeza ni mtoto wa Mama
Punguza wivu kijana, kumbuka huyo bwana alikuwepo NHC kitambo kabla hawajatenguliwa na mzee JPM. Kiutendaji naona akiifikisha mbali NHC tofouti na wengi mnavyodhani.Mtu anatoka Gimco. Kikampuni cha kijanjakijanja na kuwa Mkurugenzi wa NHC? Maajabu aisee.
Kwani ni Mchechu tu aliyeondolewa kazini bila makosa? Mbona ni wengi tu na wengine aliwafungulia mashataka. Lakini for all those years hakuna hata mmoja ambaye alikutwa na hatia hadi Magufuli mwenyewe anakufa. Hapo ndipo uthibitisho wangu wa kuwa Magufuli alikuwa anakuwa driven na hisia, wivu, chuki na ubaguzi.wewe una uhakika gani kama hawakuwa na makosa?point yangu ni kwamba Rais hawezi kumuonea wivu a mere mkurugenzi wa nhc 😕 ni uzushi wa kiwango cha lami....kwa lipi narudia tena????????
Demosition ndio nini? Unapenda kutumia English lakini haikupendiHii ya Msechu ni kupanda cheo au demosition?
By the way Kwa nini majina Yale Yale miaka na miaka?
Jibu hoja acha kuzinguaDemosition ndio nini? Unapenda kutumia English lakini haikupendi
Wewe una CV gani ya kuaminiwa kupewa enterprise kama NHC? Ungekuwa na uwezo ungepewaKwan ,katika Watanzania milion 60 wao ndio viongoz pekee.Hakuna wengine?
Ni wivu tuTeua tengua dadeki