Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

Duh sasa ndio tunaona wazi connection za kupiga hii nchi. Yaani kucha ni mikutano na waarabu. Mtu anatolewa private company anakuja wekwa at a strategic government position.
Samia tuhurumie. Umeridhi urais usifanye ije kua vita kukutoa maana unatuuza.
 
WAnasingizia ardhi yao ndogo inawatosha wao sio sio watanganyika
 
Ref
Msajili wa Hazina ni msimamizi wa mashirika yaliyobinafsishwa,yanayosubiri kubinafsishwa,yaliyoshindwa masharti ya ubinafsishàji,yaliyorejeshwa serikalini.
Tegemea mabadiliko katika aina ya mashirika niliyoyataja hapo juu("reforms')
Reforms' sawa, pesa je???..msajil wa hazina hana mshahara kma wa mkurugenzi NHC, Sema nehemia atabakia na mshahara wake
 
Wenye clues za sbb ya uteuzi huu tafadhari
 
Enzi hizo ungesakwa na mmiliki wa jukwaa angejikuta kisutu. Ila kwasasa sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…