Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

Kwani alipowatoa NHC walikuwa na kosa gani? Au wewe unajifanya umesahau mwendazake alivyokuwa anapuyanga?
Raisi kutengua sio lazima uwe na kosa, pia unapaswa kufahamu mchechu sio malaika. Mataragio ameondolewa sio kwamba alikua na kosa, na sio kwamba ni malaika. Raisi huteua na kutengua kwa kadri atakavyoona.
 
Kwa Marais wengine sawa ila siyo Mwendazake. Mwendazake alikuwa kichaa, akiamka kumtumbua mtu wala hatafuti sababu.
 
Kama mambo yenyewe ndiyo haya, Kuna haja sasa kuuvunja muungano
 
Kila mtu atalilia chumbani ndipo watakumbuka Mungu hadhihakiwi chochote ambandacho mtu ndicho avunacho😭🤭🤐
 
Tetesi mitaani: jengo la Mbarawa hapo Mwenge.
 
TPDC ndiyo uteuzi mkubwa

Huyu jamaa wa TPDC amekaa kama Hustler zaidi inaweza ikawa nzuri au mbaya. Kikubwa kwenye hili ni mambo ya rushwa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…