Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

Wewe una CV gani ya kuaminiwa kupewa enterprise kama NHC? Ungekuwa na uwezo ungepewa
Yaan mm unijui na mm sikujui.Halafu unaniandikia utoporo.Hauoni kuwa ,ww hauna kitu kichwani.Ni popoma.Pia lazima ujue Kama hao wanaoteuliwa kwa kuwa wana urafiki na Msoga Gang ndio maana nchi ipo nyuma siku zote.Hizo CV zingekuwa za ukweli ,tusingekuwa na umasikini mkubwa Kama huu.Wanaojua na wenye akili sana ,wengi wapo nje ya system.Beside ,Nehemia alichaguliwa kwa upendeleo pale NHC.Ilihitishwa interview ambayo Ilikuwa chini ya kampuni moja ya kimataifa.Na kampuni hiyo katika kipindi hicho ililipwa pesa nyingi sana kwa ajili ya hiyo kazi.Watu wengi walijitokeza kwenye usaili.Nehemiah alipata point za chini sana.Lakin aliteuliwa kwa hila kuwa mkurugenzi.Pesa nyingi za serikali zilipotea kwa kuwa tu Katibu mkuu wa Ikulu those big days alikuwa wa Njombe pia.Kutolewa kwake pale na JPM Ilikuwa sawa tu.Hana jipya.For reference kindly review the past threads of JF in regard to appointment of Msechu to be a director of NHC in those big days.Definetely most of the threads were so discourage with his appointment.
 
Mama hajawahi kukosea kwenye teuzi zake....ana weledi wa hali ya juu sana ..tumuunge mkono mama dr samia suluhu hassan na tuache mbambamba
 


Kosa si kosa…bali kosa ni kurudia kosa…

Akipatika kichaa mwingine 2025 watafute pango….
 
Kila nikisoma humu naona sina wakili mara wakili amesafir.uhakika ni kuwa yana mwisho bila kunali yataishaje
 
Hiyo "mali ya Tanzania ni mali ya Zanzibar ila mali ya Zanzibar siyo mali ya Tanzania"yaani inakera basi tu,sijui kwenye kero za muungano haipo.
KATIKA KERO 11 alizotatua Hangaya juzi juzi ni kwamba Maliasili zote za Tanganyika ni halali kwa Zanzibar ila Maliasili zote za zAnzibar sio mali ya Tanganyika.

Safar hii kazi mnayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…