UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

Watu kweli tunatofautiana sana uelewa. Hivi Cuba kuna nini cha maana?
 
Sasa huko Cuba, huyo pole pole hawezi kuja kila mwezi? Hela si ipo au??
unadhani logistic za kusafiri kutoka cuba kuja tz ni sawa na kutoka buza kwa mpalange kwenda buguruni rozana mara kumi kwa siku?.

kama emmanuel nchimbi na financial resources zote alizokuwanazo, alipotupwa brazil, hakuweza kupiga trip za back to back za kuja tz, ataweza huyu bwege polepole?.
 
Atakuwa alikuwa anatorokea mbeya kuja chap kufanya mipango ya umoja party na kurud .. sasa mzee issue za Cuba ukafanye siasa za ujamaa huko ndio umeisha hivo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilivyosikia ametupiwa Cuba nikajua uwepo wake karibu ulikuwa unaleta tafrani hivyo ikaonekana bora atupwe mbali ambapo hawezi kubinjuka fasta kufanya mawilimatatu(kwenye strategies za Sukuma gang-faction hasi ndani ya CCM) na kurudi ofisini, kuna mambo mengi ambayo kiusama hauwezi kuwasiliana kwa simu wala kupitia social media.
 
Sijui kama kuna aliyekuekewa na kama kuna mtu amekuelewa basi wote mnafanana akili.
 
Umeandika takataka
 
Balozi Humphrey Herson Polepole amehamishiwa nchi kubwa ya Cuba.

Balozi anaimarishwa kiitikadi kwa malengo mapana ya muda mrefu ujao.

Nadhani anaenda kuweka rekodi nyingine mpya kiutendaji.
Hiyo ndio ntolee bro🤣🤣keshapotezwa labda ashinde insta! Na maadili ya ubalozi hayaruhusu, ni kutulia tu Havana huko
 
Polepole tutamteua agombee urais kupitia CHADEMA. Najua chaguo la kwanza la CHADEMA ni Ndugai ila nadhani Polepole atafaa zaidi kwasababu bado kijana.
 
Vijana mko busy kujadili teuzi na vyeo serikali, hii ni ujinga wa hali juu bila chenga, jadili kupiga deal za maana kuongeza uzalishaji kuongeza kipato au demokrasia na haki kwa kila mtu
 
Kwahiyo sio kwamba mtapiga sera zenu uchwara ndio mshinde kihalali, kumbe Kuna majimbo mtazawadiwaa. Haaaaaaa haaaaaaa. Kama umesubiri vya bureeee utasubiriii saanaa.

Ebu nitajie hilojimbo mliloridhiana mtapewaa bureeeeeeeee.
 
Tuchape Kazi Tukimtanguliza Mungu Mbele
By Jiwe
 
Sasa kule Cuba itakuwaje maana hakuna wanawake rahisi rahisi Kama Kyela na jamaa Hana mke.
 
Wewe hujuhi kitu kaa kimya..
CCM Ina wenyewe lakini SYSTEM INAWENYEWE PIA.

unadhani magufuli kuwa rais ilikuwa NI coincidence tu?
Haya mambo muulize mzee
Mkuchika .
Mwenye CCM, mwenye nchi, mwenye system ni JK tu. Mtoto wa mjini. Akishirikiana na na komredi kanali Kinana. Wengine wote wajinga wajinga tu

Your browser is not able to display this video.
 
Ila kiukweli aina ya watu kama Mh. Balozi Polepole huwa wanakuwa viongozi wenye ushawishi mkubwa sana..
Natamani kumwona siku moja akiwa Rais wa nchi yetu.
Awe rais wa huko kijijini kwenu
 
Polepole ajikumbushe Wimbo huu wa Christmas

" Mbali Kule nasikia Malaika wa mbinguni.......Utukufu una Mungu Juu"

Kila la kheri kwa Wateule wote
Kwa mujibu wa ule uzi wako, kwa hiyo huko Cuba, ndiko atapopambana vizuri na CHADEMA?
 
At the stroke of pen blaza wa unaijua v8 amepigwa indefinate exile sierra maestra milima ya Cuba revolution.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…