Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Aangalie tu wale mulato wasimchanganye.Buena suerte señor Polepole
🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aangalie tu wale mulato wasimchanganye.Buena suerte señor Polepole
Watu kweli tunatofautiana sana uelewa. Hivi Cuba kuna nini cha maana?Msoga/Chaga Gang.... Narudia kuwaambia, Msipoitaka Radhi Familia ya JPM, muda UTAFIKA tu na mtakubali.
Haya mambo hayatokei tu kimiujiza !!
Kuna watu wanalazimika kutengwa na kua nje ya Mfumo sinkwa sababu nyingine, Bali Kwa lengo kubwa liliko mbele.
Luaga Mpina, alikatwa Jina sio?. Mkapiga yowee, Mpina kakomeshwaaa ,Sasa atulieee.
Hivi Kwa Uwezo mkubwa Alonao Luaga Mpina, Kwa CCM hiii ya wajumbe , Luaga singeshinda Kwa Kishindo kikuu?. Ila kulinda Maisha yake, Jina lake likalazimika kukatwa, ili muwaaminishwe Sasa kua Luaga, mmemuweza !!.
Ila aminin nawaambia, wakukaa Kwa kutulia ni Nyinyi !!. Kama mnadhan Dola itaendelea kuvumilia Ufisadi na Wizi mnaoufanya Sasa, imekula kwenu !!. AMKENI !!.
Ndo haya ya Mh Polepole Sasa !!.
Mkuu, nakuamini tunza akiba ya maneno.Huo ndio ukweli, Polepole is a nobody CCM hutaki unaacha sijakulazimisha.
unadhani logistic za kusafiri kutoka cuba kuja tz ni sawa na kutoka buza kwa mpalange kwenda buguruni rozana mara kumi kwa siku?.Sasa huko Cuba, huyo pole pole hawezi kuja kila mwezi? Hela si ipo au??
Nilivyosikia ametupiwa Cuba nikajua uwepo wake karibu ulikuwa unaleta tafrani hivyo ikaonekana bora atupwe mbali ambapo hawezi kubinjuka fasta kufanya mawilimatatu(kwenye strategies za Sukuma gang-faction hasi ndani ya CCM) na kurudi ofisini, kuna mambo mengi ambayo kiusama hauwezi kuwasiliana kwa simu wala kupitia social media.Atakuwa alikuwa anatorokea mbeya kuja chap kufanya mipango ya umoja party na kurud .. sasa mzee issue za Cuba ukafanye siasa za ujamaa huko ndio umeisha hivo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui kama kuna aliyekuekewa na kama kuna mtu amekuelewa basi wote mnafanana akili.Msoga/Chaga Gang.... Narudia kuwaambia, Msipoitaka Radhi Familia ya JPM, muda UTAFIKA tu na mtakubali.
Haya mambo hayatokei tu kimiujiza !!
Kuna watu wanalazimika kutengwa na kua nje ya Mfumo sinkwa sababu nyingine, Bali Kwa lengo kubwa liliko mbele.
Luaga Mpina, alikatwa Jina sio?. Mkapiga yowee, Mpina kakomeshwaaa ,Sasa atulieee.
Hivi Kwa Uwezo mkubwa Alonao Luaga Mpina, Kwa CCM hiii ya wajumbe , Luaga singeshinda Kwa Kishindo kikuu?. Ila kulinda Maisha yake, Jina lake likalazimika kukatwa, ili muwaaminishwe Sasa kua Luaga, mmemuweza !!.
Ila aminin nawaambia, wakukaa Kwa kutulia ni Nyinyi !!. Kama mnadhan Dola itaendelea kuvumilia Ufisadi na Wizi mnaoufanya Sasa, imekula kwenu !!. AMKENI !!.
Ndo haya ya Mh Polepole Sasa !!.
Umeandika takatakaMsoga/Chaga Gang.... Narudia kuwaambia, Msipoitaka Radhi Familia ya JPM, muda UTAFIKA tu na mtakubali.
Haya mambo hayatokei tu kimiujiza !!
Kuna watu wanalazimika kutengwa na kua nje ya Mfumo sinkwa sababu nyingine, Bali Kwa lengo kubwa liliko mbele.
Luaga Mpina, alikatwa Jina sio?. Mkapiga yowee, Mpina kakomeshwaaa ,Sasa atulieee.
Hivi Kwa Uwezo mkubwa Alonao Luaga Mpina, Kwa CCM hiii ya wajumbe , Luaga singeshinda Kwa Kishindo kikuu?. Ila kulinda Maisha yake, Jina lake likalazimika kukatwa, ili muwaaminishwe Sasa kua Luaga, mmemuweza !!.
Ila aminin nawaambia, wakukaa Kwa kutulia ni Nyinyi !!. Kama mnadhan Dola itaendelea kuvumilia Ufisadi na Wizi mnaoufanya Sasa, imekula kwenu !!. AMKENI !!.
Ndo haya ya Mh Polepole Sasa !!.
Hiyo ndio ntolee bro🤣🤣keshapotezwa labda ashinde insta! Na maadili ya ubalozi hayaruhusu, ni kutulia tu Havana hukoBalozi Humphrey Herson Polepole amehamishiwa nchi kubwa ya Cuba.
Balozi anaimarishwa kiitikadi kwa malengo mapana ya muda mrefu ujao.
Nadhani anaenda kuweka rekodi nyingine mpya kiutendaji.
Kwahiyo sio kwamba mtapiga sera zenu uchwara ndio mshinde kihalali, kumbe Kuna majimbo mtazawadiwaa. Haaaaaaa haaaaaaa. Kama umesubiri vya bureeee utasubiriii saanaa.Kwenye maridhiano kuna kipengele Cha zoning..... Kuna kata na majimbo lazima yarudi upinzani kwa kuweka wagombea weak wa CCM kwa spirit ya maridhiano kama ulivyoona kule Pemba kwenye uchaguzi mdogo.
So usitarajie walk in a park hiyo 2025.... Hakuna mbeleko ya JPM ni Kila mtu kushinda mechi zake
Mwenye CCM, mwenye nchi, mwenye system ni JK tu. Mtoto wa mjini. Akishirikiana na na komredi kanali Kinana. Wengine wote wajinga wajinga tuWewe hujuhi kitu kaa kimya..
CCM Ina wenyewe lakini SYSTEM INAWENYEWE PIA.
unadhani magufuli kuwa rais ilikuwa NI coincidence tu?
Haya mambo muulize mzee
Mkuchika .
Awe rais wa huko kijijini kwenuIla kiukweli aina ya watu kama Mh. Balozi Polepole huwa wanakuwa viongozi wenye ushawishi mkubwa sana..
Natamani kumwona siku moja akiwa Rais wa nchi yetu.
Kwa mujibu wa ule uzi wako, kwa hiyo huko Cuba, ndiko atapopambana vizuri na CHADEMA?Polepole ajikumbushe Wimbo huu wa Christmas
" Mbali Kule nasikia Malaika wa mbinguni.......Utukufu una Mungu Juu"
Kila la kheri kwa Wateule wote
Polepole ni Kati ya watu wanaoogopega sana na CCM.Huo ndio ukweli, Polepole is a nobody CCM hutaki unaacha sijakulazimisha.