Uteuzi wa Nehemia Mchechu: Tunamchekea Rais Samia, lakini hapa ameonyesha udhaifu mkubwa

Ilitakiwa walimu na shule zote alikosoma mkuu wa wachawi zifungwe ili kuokoa watoto wengine wasisome pale na kuwa na matatizo ya ubongo kiasi hiki. Watu wa Pwani mnafaa kucheza vigoma tu na kuimba taarabu kuwastarehesha wageni kutoka mashariki ya mbali kama ilivyokuwa karne ya 18
 
Inawezekana kabisa kuaachana na teuzi hii ya Mchechu, lakini vipi kuhusu teuzi za Makamba, Nape, Vuai, n.k. Ni lazima maamuzi ya Rais SSH yaheshimiwe akiwa kama ndiye kiongozi wa nchi.

Hawezi kuyaendekeza mapungufu ya yule aliyemtangulia katika ofisi nyeti aliyoirithi. Yeye ndiye mwenye mamlaka ya kikatiba kuchagua wasaadizi wake. Habanwi kwa vyovyote vile na maamuzi ya mtangulizi wake, anaweza kuyakumbatia ama kuyatengua.
 
Wewe unafikiri awekwe nani kuifufua miradi aliyoiua bwana yule? Wawachwe wale walewalioishindilia kapuni miradi ya mabilioni?

Sukuma ganga mnalo tu.


Ngojeni msikie na wadhifa mpya wa Dr. Dau, ndipo roho zitawauma sana.
 
Tanzania na dunia kwa ujumla haijawahi kuwa na mtu "indespensable".
Watanzania wapatao milioni 60 wapo watu wanaomzidi huyo kikazi na kiuzalendo.
 
Watanzania wengi hatupimi mambo; tunalalamika,tunapenda mabadiliko hata mahala ambapo mabadiliko hayahitajiki! Pia tunapenda wengine watendewe ubaya wo wote ili mradi siyo wewe binafsi! Nehemia umri wake mdogo; ni mtaalam wa benki na hata ungeweka usaili angekuwa na nafasi ya kushinda hiyo nafasi. NHC ilikuwa haijawahi kupata mtu wa kuendeleza shirika hilo. Hao waliomfukuza walimtuhumu tu hatujawahi kusikia utetezi wake. Na nyie mnatumia tuhuma kumhukumu. Lini Watanzania tutaanza kufikiri na kuendesha mambo yetu kwa hoja za kiwango cha maendeleo ya fikra ambacho dunia imeshafikia!?
 
Mchechu ndie aliharibu NHC baada ya kuchukua mikopo na kujenga mijengo ambayo hadi sasa ni makazi ya popo,kisa ni 10% miradi yake mingi ni ya kitapeli kila penye mradi pembeni yake anajimegea kiwanja chake, si umeona pale Moshi mjini na sehemu nyingine kibao majengo yamekuwa mahame. Sio bure hii network ina mwenyewe anawarudisha vijana wake.
 
Kwa hiyo wadau mnasema hapa ktm teuzi ya NHC mama kapaisha shuti ?
 
Ninavyojua hawa wapigaji walikuwa na network, sasa ni kama Magufuli alikuja kukata ile network ila amekuja huyu naona anaunganisha tena network.

Niandike tu kwa kifupi; Katiba Mpya (Rasimu ya Warioba) ndio suluhisho la kudumu.
Tatizo huna ushahidi. Yaan una theory. Sasa theory without proof ni story za vijiweni
 
Hizi nafasi zilikuwa well planned tangu mama aingie madarakani timu yote ya Jk na marafiki zake wanaopitia Yanga mtoto naibu waziri nyumba, huyo msechu NHC yule wa Yanga aliyepiga risasi nane bila shabaha anadai nyumba yake na kiwanja hati imesainiwa hivi majuzi aliyesaini ni nani....... Sasa subirini kuna yule aliyekula ATC bila kusaza nae anarudishwa na mhindi na huyu msomali / mwarabu wa yanga watapewa ubalozi
 
Watu wale wale, miaka nenda rudi utafikiri hii nchi Mchechu, Mafuru, Makamba, Nape nk ndio wasomi pekee na wenye akili pekee.

Huyu mama sijui hata anawaza nini
itakywa labda nchi za ulaya nao wanendesha serikali zao kama Sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…