Uteuzi wa Nehemia Mchechu: Tunamchekea Rais Samia, lakini hapa ameonyesha udhaifu mkubwa

Huu ni uongo, NHC ilikopa pesa nyingi kufanya miradi lakini hiyo miradi haikuwahi kurudisha pesa iliyokopwa. Shirika likabaki na madeni makubwa
Ni sawa na ilivyo ATCL, mnakwenda kununua ndege kwa mabilioni alafu kila siku shirika linapata hasara kisa tu kulifufua shirika.
Ni ujinga tu
 
Kwahyo magu alkua mjinga kufufua ATCL?
 
Alimpeleka mahakama gani kama alikuwa na ushahidi?

Magufuli alikuwa muhuni na mzandiki aliyejaa chuki huku akijificha kwenye kivuli cha ucha Mungu
Magufuli alikuwa kiboko ya wezi na mafisadi. Leo hii nchi inachezewa sababu bibi anaongozwa na wahuni.
 
Je NHC walikuwa wanauza shilingi ngapi nyumba zao??
 
Ninavyojua hawa wapigaji walikuwa na network, sasa ni kama Magufuli alikuja kukata ile network ila amekuja huyu naona anaunganisha tena network.

Niandike tu kwa kifupi; Katiba Mpya (Rasimu ya Warioba) ndio suluhisho la kudumu.

Hilo la network nakubali 100%
 
Leta huo ukweli wako NHC ilikopa hela za kufanya Real Estate Developer na kujenga nyumba za kisasa katika kila mkoa nchini lengo lilikuwa kutengeneza faida

Kwa sababu wakati ule ukwasi ulikuwa mzuri mifukoni mwa watu ndio maana wananchi wengi sana waliweza kununua nyumba za NHC, NSSF, PSPF

Hivyo shirika lilikuwa imara na kila mkoa ukienda project zilikuwa zinaendelea mpaka kule mtukula kagera

Wafabanya Biashara wengi walipangasha na kuweka vitega uchumi katika majengo ya NHC

Na ndio maana mradi wa Morocco square ulikwama baada ya Mchechu kupigwa chini kwa sababu mkurugenzi aliyeteuliwa alishindwa kumshauri vizur JPM

Hata kipindi kile JPM alikuwa anamuambia Mchechu kuwa wewe ni mtendaji mzuri una uwezo mzuri wa kufanya kazi ila watendaji wako wa chini ndio wanakupiga majungu na fitina

Hata JPM alikosa strong evidence na logic ya kumtengua Mchechu zaidi ya yeye naye kusikiliza majungu hivi jinsi JPM alivyokuwa mkali kama Mchechu angekuwa mwizi siku nyingi ungekuta ameshapelekwa korokoroni kama walivyokuwa wakina Dickson maimu aleyekuwa NIDA
 
Hilo la network nakubali 100%
Kama alikata Network za wenzake na yeye ya kwake sasa inakatwa na ndio maana watu walianza na Bandari kwa Kakoko sasa mapato yameongezeka maradufu katika Bandar yetu

Haya yametokana na Rais wetu kufungua nchi kibiashara na sasa meli zinakuja kwa wingi katika Bandar yetu ya Dar es Salaam ukilinganisha na kipindi kilichopita
 
mkuu ccm wote ni majizi yanalindana na kupeana ulaji, hawana haya wala soni.
 

Kurudishwa Msechu NHC ni mkakati wa Kikwete kutaka kukomba hayo mabillioni yaliyopelekwa huko!! Anaandaa mtandao wa Uchaguzi wa 2024 hivyo sehemu zote zenye fedha atateuliwa mtu atakaye wezesha upatikanaji wa fedha za Uchaguzi!!
 
Alijenga Singida, Arusha, Bukoba na Katavi

Alivyoondoka Msechu, waliobaki wamejenga wapi?
Nipe idadi ya nyumba alojenga. Ha ha ha, kaangalie huko Singida na Katavi unakosema. Angalia Arusha. Kujenga hivyo vijumba ndo unamsifia.
Ok, unasema waliobaki wakifanya nini, tazama maghorofa ya Magomeni. Yamejengwa Msechu hayupo. Hayo yanatakiwa yamwagike nchi nzima. Au hata hiyo Dar yote. Si kujenga vighorofa yvya kuhesabu na vijumba vya mapara manne. Kisha unamsifia. Pole sana.
 
Pole sana acha wivu!
 
The Msoga gang
 
Mzee wa miradi hewa ya kifisadi karejea.
 
nyie ccm mkaulizane huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…