Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Huu ni uongo, NHC ilikopa pesa nyingi kufanya miradi lakini hiyo miradi haikuwahi kurudisha pesa iliyokopwa. Shirika likabaki na madeni makubwaHakuna ushahidi wa wazi ulionesha kuwa Yehemia Mchechu alikuwa mwizi aliondolewa pale NHC kisiasa tu katika Wakurugenzi waliohudumu NHC hakuna mtu aliye fanya mambo makubwa kama Mchechu alifanya reformation kubwa sana katika shirika letu la Nyumba
Hivyo mimi kwangu ni uteuzi mzuri na atamsaidia sana Rais kulifanya shirika liwe bora zaidi
Kiuhalisia lazima shirika liwe na category tatu
Kwanza kuweza kuhudumia wananchi wa chini ambao watakuwa wanufaika kuweza kupata nyumba kwa rahisi
Pili wananchi wenyewe kipato cha kati (Middle Class) ambao hawa wataweza ku afford nyumba za kisasa
Tatu Tabaka la watu wenye uwezo mkumbwa kiuchumi ambayo hawa watakuwa na uwezo wa kupangisha na kununua Apartment za kisasa
Ni sawa na ilivyo ATCL, mnakwenda kununua ndege kwa mabilioni alafu kila siku shirika linapata hasara kisa tu kulifufua shirika.
Ni ujinga tu