Yaani hii ndio ile inaamini kwamba binadamu kajitengeneza mwenyewe si ndio ?Kuamini kwamba Ulimwengu na viumbe vilitokea tu from nowhere tena by chance.
mkuu habari ya siku asee ?awali umesema energy haiumbwi.
Dah!!! How does evolution observed. Tuoneshe kitu kimoja kilichofanya hivyo with scientific proof.Evolution can be observed lakin. Ila creation? Mtu kuumbwa toka kwa udongo? Nah...
Hahh, ndiyo hivyo Mkuu shida ni kwamba wanaamini wao ndiyo wajuaji wengine wote brainwashed.Yaani hii ndio ile inaamini kwamba binadamu kajitengeneza mwenyewe si ndio ?
WAkisema by chance lazima tuulize nani alifanya hiyo chance iwepo ?
Hebu check hapa. Utaona wanasayansi nao wanaamini.Evolution can be observed lakin. Ila creation? Mtu kuumbwa toka kwa udongo? Nah...
Uwepo wa kuku broiler, layers... wanyama na mimea ni result ya selective breeding au sped up EVOLUTION/ human assisted EVOLUTION.Dah!!! How does evolution observed. Tuoneshe kitu kimoja kilichofanya hivyo with scientific proof.
Dah!! Kuwepo kwa hao kuku is just kuku hao hao. Hatujawahi kuona kuku wa miguu minne. Au kuku anayetoa maziwa.Uwepo wa kuku broiler, layers... wanyama na mimea ni result ya selective breeding au sped up EVOLUTION/ human assisted EVOLUTION.
Hapo zaman hizo binadamu wote tulikua na rangi ya ngozi karibu za kufanana. Ila sasa binadamu walipoanza kusambaa na kukutana na hali tofauti za hewa ndio wakawa wana adopt. Waafrika tulibaki weusi kwasababu mtu itakua ngumu kuishi bila vitamin D, afya yako itadhohofika. Na vitamin D inapatikana kutoka kwenye jua. Ila sasa jua nalo likizid linakuweka katika hatar ya kupata matatizo ya ngozi. Na afrika kuna jua kali sana kwhy waafrika ili kusurvive ngoz yak imemaintain kiwango kikubwa cha melanin. Wazungu wao walipofika kule ikawa changamoto sasa maana ngozi ilikua nyeusi na haiwez kuharvest mwanga kutoka juani wa kutosha kupata vitamin D wanayostahili. Ivo random mutations zikadecide kua lighter skin ndio wanasurvive zaid, ivo ndio ikawa default yao. Mpaka leo hii watu weusi wengi wanaoishi sehem za ulaya wanapata changamoto ya vitamin D. Hivo wengi wao wanaishi kwa kila supplements za vidonge vya vitamin D. Ivoivo wazungu, wanapata shida sana wakija afrika, hasa lile jua la mchana. Huu ni mfano tu wa evolution inavoweza kutokea, na kwakuepo fossils tunaweza thibitisha...
KWa sababu hiyo kwamba vitu vilitokea by chance yaani accidentally daah haiji kabisa.Hahh, ndiyo hivyo Mkuu shida ni kwamba wanaamini wao ndiyo wajuaji wengine wote brainwashed.
Huwaambii kitu.
Kuku mwenye miguu minne:Dah!! Kuwepo kwa hao kuku is just kuku hao hao. Hatujawahi kuona kuku wa miguu minne. Au kuku anayetoa maziwa.
Au maana ya evolution mzee unaongelea nini?
Dah unaongelea color. Hii siyo evolution iliyosema na bwana Darwin. Tunataka tuone hao Virus wanabadilika na kuwa multicellular. Lakini hakuna tukio hilo limetokea baada ya bwana Darwin kusema theory yake.
Ngoja nikupatie criticisms of evolution theory
1. Lack of Evidence for Macroevolution: Some critics argue that while microevolution (changes within a species) has been observed, there is no evidence for macroevolution (the origin of new species).
2. Irreducible Complexity: Some critics argue that certain biological structures, such as the bacterial flagellum, are too complex to have evolved gradually and must have been created in their present form.
3. Gaps in the Fossil Record: Some critics argue that there are gaps in the fossil record that cannot be explained by evolution.
4. Origin of Life: Evolution theory does not explain the origin of life itself, only how life has evolved once it appeared on Earth.
5. Lack of Direction: Some critics argue that evolution is directionless and does not have a goal or purpose.
6. The Role of Natural Selection: Some critics argue that natural selection is not sufficient to explain the complexity and diversity of life on Earth.
7. Probability: Some critics argue that the probability of certain evolutionary events occurring by chance is too low to be plausible.
Hahhh, mtihani kwa kweliKWa sababu hiyo kwamba vitu vilitokea by chance yaani accidentally daah haiji kabisa.
Yaani binadamu atokee by xhance,kuku by chance,milima by chsnce,samaki by chance daaah sasa hiyo ni by xhance ama kuna mtaalamu anafanya ?
Yaani ilikuwa tujikute sisi binadamu tu hapa ulimwenguni ndio tungesema kwamba tupo hapa by chance maana tuko peke yetu,ila kuna vitu kadha wa kadhaa alafu bado mtu anaamini kwamba by chance,no lazima iwe kuna sababu na sio by xhance tena.
Yaani by chance kwa mamilioni ya vitu na wanyama ?😁😁
Dah!! Kuwepo kwa hao kuku is just kuku hao hao. Hatujawahi kuona kuku wa miguu minne. Au kuku anayetoa maziwa.
Au maana ya evolution mzee unaongelea nini?
Dah unaongelea color. Hii siyo evolution iliyosema na bwana Darwin. Tunataka tuone hao Virus wanabadilika na kuwa multicellular. Lakini hakuna tukio hilo limetokea baada ya bwana Darwin kusema theory yake.
Ngoja nikupatie criticisms of evolution theory
1. Lack of Evidence for Macroevolution: Some critics argue that while microevolution (changes within a species) has been observed, there is no evidence for macroevolution (the origin of new species).
2. Irreducible Complexity: Some critics argue that certain biological structures, such as the bacterial flagellum, are too complex to have evolved gradually and must have been created in their present form.
3. Gaps in the Fossil Record: Some critics argue that there are gaps in the fossil record that cannot be explained by evolution.
4. Origin of Life: Evolution theory does not explain the origin of life itself, only how life has evolved once it appeared on Earth.
5. Lack of Direction: Some critics argue that evolution is directionless and does not have a goal or purpose.
6. The Role of Natural Selection: Some critics argue that natural selection is not sufficient to explain the complexity and diversity of life on Earth.
7. Probability: Some critics argue that the probability of certain evolutionary events occurring by chance is too low to be plausible.
Sayansi ni imani kwa sababu mara nyingi inareplace imani ya dini,so hatuwezi kuitoa sayansi katika imani.Fact yenyewe sasa... Eti Mtu zamani alikua na mkia ila Kutokana na kwamba alikua hautumii mkia wake, mkia ukadhoofika na kutoweka 🙌🏼
Hivi una fahamu kwamba hizo Theory kama Evolution ni Imani?5. Yes evolution haina direction. Kila kiumbe alivo saiv ndio yuko perfect kwa mazingira.
1. Lack of evidence. It's more like "lack of 'enough' evidence". Ndiomaana ikaitwa evolution "theory". Ivo bado inakua studied mpaka leo...
6. Role of natural selection? Sasa hii ndo fact zaid ambayo kuna fossil za kutosha kuiprove. Viumbe walioishi miaka 300,000 iliopita ni tofaut na tulionao sasaiv. Sasa unafikir muumbaji alikuja akaua hao afu akaumba wengine? Hapan... bali kupitia natural selection walievolve kua viumbe wa sasa...
Use and diss use... unajua kua sasaiv kuna idadi kubwa ya tembo wanazaliwa bila yale meno yao marefu? Hii ni kwasababu wenye meno marefu wanauwawa kwa ujangili ivo wanashindwa kupass on genes zao. Wasio na marefu wanapass on ivo population yao inazid kukua... tukiendelea hivihivi kwa miaka 5000, tembo wote watakua hawana meno marefu.Hahhh, mtihani kwa kweli
Kisha utawasikia wanasema.. "Mimi sitaki kuamini tu, Mimi nataka fact"
Fact yenyewe sasa... Eti Mtu zamani alikua na mkia ila Kutokana na kwamba alikua hautumii mkia wake, mkia ukadhoofika na kutoweka [emoji1373]
Use &disuse kwenye Evolution Theory ...... Huwaambii kitu kwa Charles Darwin
Tunaangalia fossils. Hatusemi tu kiumbe flan hakua hivi blindly. Viumbe kama papa na mamba wao wako unchanged kwa kipindi kirefu sana... ila viumbe wengi wamebadilika sana... mtu hakuamka tu skumoja na kusema haya. Bali walisema baada ya kuona fossilsHivi una fahamu kwamba hizo Theory kama Evolution ni Imani?
Yani unasemaje ni fact, Mtu akikuambia miaka Billions iliyopita..... Kiumbe flani hakua hivi?
Usiseme fact, sema tu Mimi ni Muumini wa Bwana Charles Darwin na wenzake tutakuelewa.
Mkuu, ndiyo maana nasema wewe una Imani sio kidogo.Use and diss use... unajua kua sasaiv kuna idadi kubwa ya tembo wanazaliwa bila yale meno yao marefu? Hii ni kwasababu wenye meno marefu wanauwawa kwa ujangili ivo wanashindwa kupass on genes zao. Wasio na marefu wanapass on ivo population yao inazid kukua... tukiendelea hivihivi kwa miaka 5000, tembo wote watakua hawana meno marefu.
Use and dissuse. It can be observed!
Dah!! Ndugu yangu. Kwanza kabisa unanilisha maneno ambayo sijaandika. Katika comments zangu hakuna sehemu nilitamka kuhusu kuumbwa. Tafuta, hakuna.5. Yes evolution haina direction. Kila kiumbe alivo saiv ndio yuko perfect kwa mazingira.
1. Lack of evidence. It's more like "lack of 'enough' evidence". Ndiomaana ikaitwa evolution "theory". Ivo bado inakua studied mpaka leo...
6. Role of natural selection? Sasa hii ndo fact zaid ambayo kuna fossil za kutosha kuiprove. Viumbe walioishi miaka 300,000 iliopita ni tofaut na tulionao sasaiv. Sasa unafikir muumbaji alikuja akaua hao afu akaumba wengine? Hapan... bali kupitia natural selection walievolve kua viumbe wa sasa...
Hapana.Mkuu, ndiyo maana nasema wewe una Imani sio kidogo.
Ila amini nakuambia, Hii Dunia na viumbe tunaowaona na wengine hatuwaoni Kuna Mjuzi/Engineer Mkubwa kuliko wote aliyefanya Mimi na wewe tunaiishi mifumo aliyoiweka.... Yeye ndiyo ame_design Pua yenye njia mbili na Nyusi kwenye macho Yetu.
Mzee fossils zipi zinaonesha virus ilibadilika kuwa multicellular?Tunaangalia fossils. Hatusemi tu kiumbe flan hakua hivi blindly. Viumbe kama papa na mamba wao wako unchanged kwa kipindi kirefu sana... ila viumbe wengi wamebadilika sana... mtu hakuamka tu skumoja na kusema haya. Bali walisema baada ya kuona fossils