Uwepo wa kuku broiler, layers... wanyama na mimea ni result ya selective breeding au sped up EVOLUTION/ human assisted EVOLUTION.
Hapo zaman hizo binadamu wote tulikua na rangi ya ngozi karibu za kufanana. Ila sasa binadamu walipoanza kusambaa na kukutana na hali tofauti za hewa ndio wakawa wana adopt. Waafrika tulibaki weusi kwasababu mtu itakua ngumu kuishi bila vitamin D, afya yako itadhohofika. Na vitamin D inapatikana kutoka kwenye jua. Ila sasa jua nalo likizid linakuweka katika hatar ya kupata matatizo ya ngozi. Na afrika kuna jua kali sana kwhy waafrika ili kusurvive ngoz yak imemaintain kiwango kikubwa cha melanin. Wazungu wao walipofika kule ikawa changamoto sasa maana ngozi ilikua nyeusi na haiwez kuharvest mwanga kutoka juani wa kutosha kupata vitamin D wanayostahili. Ivo random mutations zikadecide kua lighter skin ndio wanasurvive zaid, ivo ndio ikawa default yao. Mpaka leo hii watu weusi wengi wanaoishi sehem za ulaya wanapata changamoto ya vitamin D. Hivo wengi wao wanaishi kwa kila supplements za vidonge vya vitamin D. Ivoivo wazungu, wanapata shida sana wakija afrika, hasa lile jua la mchana. Huu ni mfano tu wa evolution inavoweza kutokea, na kwakuepo fossils tunaweza thibitisha...
Dah!! Kuwepo kwa hao kuku is just kuku hao hao. Hatujawahi kuona kuku wa miguu minne. Au kuku anayetoa maziwa.
Au maana ya evolution mzee unaongelea nini?
Dah unaongelea color. Hii siyo evolution iliyosema na bwana Darwin. Tunataka tuone hao Virus wanabadilika na kuwa multicellular. Lakini hakuna tukio hilo limetokea baada ya bwana Darwin kusema theory yake.
Ngoja nikupatie criticisms of evolution theory
1. Lack of Evidence for Macroevolution: Some critics argue that while microevolution (changes within a species) has been observed, there is no evidence for macroevolution (the origin of new species).
2. Irreducible Complexity: Some critics argue that certain biological structures, such as the bacterial flagellum, are too complex to have evolved gradually and must have been created in their present form.
3. Gaps in the Fossil Record: Some critics argue that there are gaps in the fossil record that cannot be explained by evolution.
4. Origin of Life: Evolution theory does not explain the origin of life itself, only how life has evolved once it appeared on Earth.
5. Lack of Direction: Some critics argue that evolution is directionless and does not have a goal or purpose.
6. The Role of Natural Selection: Some critics argue that natural selection is not sufficient to explain the complexity and diversity of life on Earth.
7. Probability: Some critics argue that the probability of certain evolutionary events occurring by chance is too low to be plausible.