Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

Kuamini kwamba Ulimwengu na viumbe vilitokea tu from nowhere tena by chance.
Yaani hii ndio ile inaamini kwamba binadamu kajitengeneza mwenyewe si ndio ?

WAkisema by chance lazima tuulize nani alifanya hiyo chance iwepo ?
 
Hahh, ndiyo hivyo Mkuu shida ni kwamba wanaamini wao ndiyo wajuaji wengine wote brainwashed.

Huwaambii kitu.
 
Nyie mnaosema Mungu hayupo ipo siku atajionyesha kwenu hiyo siku ndio mtaamini

Maana yeye hujifunua kwa amtakaye

Miaka ya nyuma nilikuwa kama nyie lakini kwa sasa YEHOVA naamini yupo na ndio mjenzi wa vitu vyote ninavyoona na nisivyoona kwa macho yangu

BWANA WA MABWANA
BWANA WA MATAIFA YOTE
MUNGU WA IBRAHIM
MUNGU WA ISAKA
MUNGU WA YAKOBO
MUNGU MKUBWA

NATUMAINI KATIKA YEYE TU PEKE YAKE
 
Evolution can be observed lakin. Ila creation? Mtu kuumbwa toka kwa udongo? Nah...
Hebu check hapa. Utaona wanasayansi nao wanaamini.

The theory of evolution states that all living things on Earth, including humans, evolved over time from a common ancestor through a process of descent with modification. This means that all living things share a common genetic heritage and are related through a vast network of branching evolutionary lineages.

The exact nature of the first living organisms on Earth is still a subject of scientific inquiry and debate. However, scientists believe that the first life on Earth likely arose from simple organic molecules through a process of chemical evolution, which eventually gave rise to self-replicating molecules and eventually to cells capable of carrying out the basic functions of life.

Over billions of years, these early cells diversified and evolved into the vast array of organisms we see on Earth today. This process of evolution is driven by the mechanisms of natural selection, genetic drift, mutation, and other factors that lead to changes in the genetic makeup of populations over time.

While there is still much to be discovered and understood about the origin and evolution of life on Earth, the theory of evolution provides a framework for understanding the patterns and processes that have shaped the diversity of life we see around us today.
 
Dah!!! How does evolution observed. Tuoneshe kitu kimoja kilichofanya hivyo with scientific proof.
Uwepo wa kuku broiler, layers... wanyama na mimea ni result ya selective breeding au sped up EVOLUTION/ human assisted EVOLUTION.

Hapo zaman hizo binadamu wote tulikua na rangi ya ngozi karibu za kufanana. Ila sasa binadamu walipoanza kusambaa na kukutana na hali tofauti za hewa ndio wakawa wana adopt. Waafrika tulibaki weusi kwasababu mtu itakua ngumu kuishi bila vitamin D, afya yako itadhohofika. Na vitamin D inapatikana kutoka kwenye jua. Ila sasa jua nalo likizid linakuweka katika hatar ya kupata matatizo ya ngozi. Na afrika kuna jua kali sana kwhy waafrika ili kusurvive ngoz yak imemaintain kiwango kikubwa cha melanin. Wazungu wao walipofika kule ikawa changamoto sasa maana ngozi ilikua nyeusi na haiwez kuharvest mwanga kutoka juani wa kutosha kupata vitamin D wanayostahili. Ivo random mutations zikadecide kua lighter skin ndio wanasurvive zaid, ivo ndio ikawa default yao. Mpaka leo hii watu weusi wengi wanaoishi sehem za ulaya wanapata changamoto ya vitamin D. Hivo wengi wao wanaishi kwa kila supplements za vidonge vya vitamin D. Ivoivo wazungu, wanapata shida sana wakija afrika, hasa lile jua la mchana. Huu ni mfano tu wa evolution inavoweza kutokea, na kwakuepo fossils tunaweza thibitisha...
 
Dah!! Kuwepo kwa hao kuku is just kuku hao hao. Hatujawahi kuona kuku wa miguu minne. Au kuku anayetoa maziwa.

Au maana ya evolution mzee unaongelea nini?

Dah unaongelea color. Hii siyo evolution iliyosema na bwana Darwin. Tunataka tuone hao Virus wanabadilika na kuwa multicellular. Lakini hakuna tukio hilo limetokea baada ya bwana Darwin kusema theory yake.
Ngoja nikupatie criticisms of evolution theory

1. Lack of Evidence for Macroevolution: Some critics argue that while microevolution (changes within a species) has been observed, there is no evidence for macroevolution (the origin of new species).

2. Irreducible Complexity: Some critics argue that certain biological structures, such as the bacterial flagellum, are too complex to have evolved gradually and must have been created in their present form.

3. Gaps in the Fossil Record: Some critics argue that there are gaps in the fossil record that cannot be explained by evolution.

4. Origin of Life: Evolution theory does not explain the origin of life itself, only how life has evolved once it appeared on Earth.

5. Lack of Direction: Some critics argue that evolution is directionless and does not have a goal or purpose.

6. The Role of Natural Selection: Some critics argue that natural selection is not sufficient to explain the complexity and diversity of life on Earth.

7. Probability: Some critics argue that the probability of certain evolutionary events occurring by chance is too low to be plausible.
 
Hahh, ndiyo hivyo Mkuu shida ni kwamba wanaamini wao ndiyo wajuaji wengine wote brainwashed.

Huwaambii kitu.
KWa sababu hiyo kwamba vitu vilitokea by chance yaani accidentally daah haiji kabisa.

Yaani binadamu atokee by xhance,kuku by chance,milima by chsnce,samaki by chance daaah sasa hiyo ni by xhance ama kuna mtaalamu anafanya ?

Yaani ilikuwa tujikute sisi binadamu tu hapa ulimwenguni ndio tungesema kwamba tupo hapa by chance maana tuko peke yetu,ila kuna vitu kadha wa kadhaa alafu bado mtu anaamini kwamba by chance,no lazima iwe kuna sababu na sio by xhance tena.

Yaani by chance kwa mamilioni ya vitu na wanyama ?😁😁
 
Kuku mwenye miguu minne:

Screenshot_20230502-230900_Google.jpg

Sasa trait kama hii ingekua beneficial ktk survival tungeona kuku wengi wenye miguu minne. Random gene mutations ikitokea kua perfect katk kusurvive hivo ndivo vizaz vijavyo vitakavyokua... evolution iko ivo, simply.
 
KWa sababu hiyo kwamba vitu vilitokea by chance yaani accidentally daah haiji kabisa.

Yaani binadamu atokee by xhance,kuku by chance,milima by chsnce,samaki by chance daaah sasa hiyo ni by xhance ama kuna mtaalamu anafanya ?

Yaani ilikuwa tujikute sisi binadamu tu hapa ulimwenguni ndio tungesema kwamba tupo hapa by chance maana tuko peke yetu,ila kuna vitu kadha wa kadhaa alafu bado mtu anaamini kwamba by chance,no lazima iwe kuna sababu na sio by xhance tena.

Yaani by chance kwa mamilioni ya vitu na wanyama ?😁😁
Hahhh, mtihani kwa kweli

Kisha utawasikia wanasema.. "Mimi sitaki kuamini tu, Mimi nataka fact"

Fact yenyewe sasa... Eti Mtu zamani alikua na mkia ila Kutokana na kwamba alikua hautumii mkia wake, mkia ukadhoofika na kutoweka 🙌🏼

Use &disuse kwenye Evolution Theory ...... Huwaambii kitu kwa Charles Darwin
 
Dah!! Kuwepo kwa hao kuku is just kuku hao hao. Hatujawahi kuona kuku wa miguu minne. Au kuku anayetoa maziwa.

Au maana ya evolution mzee unaongelea nini?

Dah unaongelea color. Hii siyo evolution iliyosema na bwana Darwin. Tunataka tuone hao Virus wanabadilika na kuwa multicellular. Lakini hakuna tukio hilo limetokea baada ya bwana Darwin kusema theory yake.
Ngoja nikupatie criticisms of evolution theory

1. Lack of Evidence for Macroevolution: Some critics argue that while microevolution (changes within a species) has been observed, there is no evidence for macroevolution (the origin of new species).

2. Irreducible Complexity: Some critics argue that certain biological structures, such as the bacterial flagellum, are too complex to have evolved gradually and must have been created in their present form.

3. Gaps in the Fossil Record: Some critics argue that there are gaps in the fossil record that cannot be explained by evolution.

4. Origin of Life: Evolution theory does not explain the origin of life itself, only how life has evolved once it appeared on Earth.

5. Lack of Direction: Some critics argue that evolution is directionless and does not have a goal or purpose.

6. The Role of Natural Selection: Some critics argue that natural selection is not sufficient to explain the complexity and diversity of life on Earth.

7. Probability: Some critics argue that the probability of certain evolutionary events occurring by chance is too low to be plausible.

5. Yes evolution haina direction. Kila kiumbe alivo saiv ndio yuko perfect kwa mazingira.

1. Lack of evidence. It's more like "lack of 'enough' evidence". Ndiomaana ikaitwa evolution "theory". Ivo bado inakua studied mpaka leo...

6. Role of natural selection? Sasa hii ndo fact zaid ambayo kuna fossil za kutosha kuiprove. Viumbe walioishi miaka 300,000 iliopita ni tofaut na tulionao sasaiv. Sasa unafikir muumbaji alikuja akaua hao afu akaumba wengine? Hapan... bali kupitia natural selection walievolve kua viumbe wa sasa...
 
Fact yenyewe sasa... Eti Mtu zamani alikua na mkia ila Kutokana na kwamba alikua hautumii mkia wake, mkia ukadhoofika na kutoweka 🙌🏼
Sayansi ni imani kwa sababu mara nyingi inareplace imani ya dini,so hatuwezi kuitoa sayansi katika imani.

Uzuri watu wasioamini Mungu ni waumini wakubwa sana wa sayansi.
 
5. Yes evolution haina direction. Kila kiumbe alivo saiv ndio yuko perfect kwa mazingira.

1. Lack of evidence. It's more like "lack of 'enough' evidence". Ndiomaana ikaitwa evolution "theory". Ivo bado inakua studied mpaka leo...

6. Role of natural selection? Sasa hii ndo fact zaid ambayo kuna fossil za kutosha kuiprove. Viumbe walioishi miaka 300,000 iliopita ni tofaut na tulionao sasaiv. Sasa unafikir muumbaji alikuja akaua hao afu akaumba wengine? Hapan... bali kupitia natural selection walievolve kua viumbe wa sasa...
Hivi una fahamu kwamba hizo Theory kama Evolution ni Imani?

Yani unasemaje ni fact, Mtu akikuambia miaka Billions iliyopita..... Kiumbe flani hakua hivi?

Usiseme fact, sema tu Mimi ni Muumini wa Bwana Charles Darwin na wenzake tutakuelewa.
 
Hahhh, mtihani kwa kweli

Kisha utawasikia wanasema.. "Mimi sitaki kuamini tu, Mimi nataka fact"

Fact yenyewe sasa... Eti Mtu zamani alikua na mkia ila Kutokana na kwamba alikua hautumii mkia wake, mkia ukadhoofika na kutoweka [emoji1373]

Use &disuse kwenye Evolution Theory ...... Huwaambii kitu kwa Charles Darwin
Use and diss use... unajua kua sasaiv kuna idadi kubwa ya tembo wanazaliwa bila yale meno yao marefu? Hii ni kwasababu wenye meno marefu wanauwawa kwa ujangili ivo wanashindwa kupass on genes zao. Wasio na marefu wanapass on ivo population yao inazid kukua... tukiendelea hivihivi kwa miaka 5000, tembo wote watakua hawana meno marefu.

Use and dissuse. It can be observed!
 
Hivi una fahamu kwamba hizo Theory kama Evolution ni Imani?

Yani unasemaje ni fact, Mtu akikuambia miaka Billions iliyopita..... Kiumbe flani hakua hivi?

Usiseme fact, sema tu Mimi ni Muumini wa Bwana Charles Darwin na wenzake tutakuelewa.
Tunaangalia fossils. Hatusemi tu kiumbe flan hakua hivi blindly. Viumbe kama papa na mamba wao wako unchanged kwa kipindi kirefu sana... ila viumbe wengi wamebadilika sana... mtu hakuamka tu skumoja na kusema haya. Bali walisema baada ya kuona fossils
 
Use and diss use... unajua kua sasaiv kuna idadi kubwa ya tembo wanazaliwa bila yale meno yao marefu? Hii ni kwasababu wenye meno marefu wanauwawa kwa ujangili ivo wanashindwa kupass on genes zao. Wasio na marefu wanapass on ivo population yao inazid kukua... tukiendelea hivihivi kwa miaka 5000, tembo wote watakua hawana meno marefu.

Use and dissuse. It can be observed!
Mkuu, ndiyo maana nasema wewe una Imani sio kidogo.

Ila amini nakuambia, Hii Dunia na viumbe tunaowaona na wengine hatuwaoni Kuna Mjuzi/Engineer Mkubwa kuliko wote aliyefanya Mimi na wewe tunaiishi mifumo aliyoiweka.... Yeye ndiyo ame_design Pua yenye njia mbili na Nyusi kwenye macho Yetu.
 
5. Yes evolution haina direction. Kila kiumbe alivo saiv ndio yuko perfect kwa mazingira.

1. Lack of evidence. It's more like "lack of 'enough' evidence". Ndiomaana ikaitwa evolution "theory". Ivo bado inakua studied mpaka leo...

6. Role of natural selection? Sasa hii ndo fact zaid ambayo kuna fossil za kutosha kuiprove. Viumbe walioishi miaka 300,000 iliopita ni tofaut na tulionao sasaiv. Sasa unafikir muumbaji alikuja akaua hao afu akaumba wengine? Hapan... bali kupitia natural selection walievolve kua viumbe wa sasa...
Dah!! Ndugu yangu. Kwanza kabisa unanilisha maneno ambayo sijaandika. Katika comments zangu hakuna sehemu nilitamka kuhusu kuumbwa. Tafuta, hakuna.

Pili nimekuwekea criticisms 7 umeamua kuchagua hizo na kuzijibu kwa juu juu tu.
Lakini zile za msingi kabisa umeziruka.
Hebu nakuomba utueleze how does life originated from this theory you claim to be true.

Halafu mzee wangu unajichanganya sana. Umekubali kuwa theory is just an idea na siyo uhalisia inatakiwa ifuatiliwe na tuweze prove.

Tangu bwana Darwin aitamke theory hii imebaki kuwa theory miaka na miaka. Huoni kuwa hii nayo ni aina ya imani kama imani zingine?

Hakuna experiment yoyote imefanywa kuonesha virus anabadilika kuwa multicellular.
 
Mkuu, ndiyo maana nasema wewe una Imani sio kidogo.

Ila amini nakuambia, Hii Dunia na viumbe tunaowaona na wengine hatuwaoni Kuna Mjuzi/Engineer Mkubwa kuliko wote aliyefanya Mimi na wewe tunaiishi mifumo aliyoiweka.... Yeye ndiyo ame_design Pua yenye njia mbili na Nyusi kwenye macho Yetu.
Hapana.
 
Tunaangalia fossils. Hatusemi tu kiumbe flan hakua hivi blindly. Viumbe kama papa na mamba wao wako unchanged kwa kipindi kirefu sana... ila viumbe wengi wamebadilika sana... mtu hakuamka tu skumoja na kusema haya. Bali walisema baada ya kuona fossils
Mzee fossils zipi zinaonesha virus ilibadilika kuwa multicellular?
 
Back
Top Bottom