Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

Mzungu anajua hatuna akili anatutumia wenyewe kuangamiza watu wetu
 
Unaifahamu historia ya kemet/Misri , amabayo hapo kabla ilijulikana land of blacks Ambayo haijachakachuliwa na hao white supremacists?

Unafaham kemet/Misri ilitawala Dunia Kwa miaka mingi uko nyuma? Unafaham wa Arabu ni Wafamizi North Africa na Egypt ya Leo?

Unafam pyramids zilizopo Misri, Sudani, na Ethiopia zimejengwa na watu weusi, na Hadi Leo hawana jibu zilijengwa vipi, na unafaham hesabu ilitumika kujenga hizo pyramids?

Unafaham Kemet/Misri ilistarabika mapema zaidi ya Ulaya? Unafaham wana Filosofia wa Magharibi walikua wakisafiri kuja kujifunza Kemet/misri?


Unakifahamu kitabu Cha the book of the coming forth by day/ book of the dead , Kiliandikwa na watu weusi?

Unafaham maktaba ya Alexandria iliyochomwa moto na wazungu wakishirikiana na ndugu zao wa arabu, kupoteza asili ya mtu mweusi na yote aliyo yafanya hapo kabla, na wakaiba vitabu vyote vilivyokua vinaelezea sayansi na teknolojia wanayotumia hivi sasa kufanya uvumbuzi, na vilivyobaki wakavitia moto?
Unafaham kuanguka kwa kemet/ misri ndio ulikua mwanzo wa Afrika kutawaliwa na kuchukuliwa watumwa?

Unafaham wazungu wanavyotumia nguvu kubwa kupindisha historia ya Mtu mweusi Ili aendelee kujiona Duni, na awatawale milele?

Unafaham gunduzi zinazofanyika Misri ya Leo kwenye pyramid of Giza hazitoki hadharani Hadi ziwe white washed?

Usijidharau ndugu, hapo kabla tulitawala kuanzia Afrika, Amerika Hadi Ulaya,

tawala zinainuka na kuanguka, zama za hao westerners zinaenda kufika ukingoni, Afrika inanyanyuka tena.
 
Kwa hiyo Ujanja na Ujinga unapimwa kwa Mtu kuweka Ulinzi na mwengine kutoweka??
Sio kama wewe Mtoa mada na wanaokusapoti ndio akili zenu hazina akili??

Tukirudi kwa hao matajiri aliyekwambia hawalindwi na kujilinda nani?? Ulishawahi kumuona Bill Gates anatembea sokoni?? Unajua hizo sehemu ambazo wewe unaoneshwa kwenye Tv akiwa ametembelea kulishafanyiwa uchunguzi na ulinzi kabambe wiki nzima??

Njoo na hoja nyingine inayoonesha Muafrica hana akili na huyo Mkoloni wako anazo.
 
mkuu mi ht sijadharau nilitoa tu hoja na ni jambo jema nawe umeweka hoja pia, mimi niko interested sn na historia ya mtu mweusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…