SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Sasa kinachokuhuzunisha ni nini?Tatizo ni rangi mkuu. Rangi nyeusi sio nzuri sehemu nyingi. Hebu jaribu kupaka nyumba yako rangi nyeusi uone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kinachokuhuzunisha ni nini?Tatizo ni rangi mkuu. Rangi nyeusi sio nzuri sehemu nyingi. Hebu jaribu kupaka nyumba yako rangi nyeusi uone.
kivipi?Umedanganyika,Usitudanganye..
ht mzungu wa simba bosi?Mpeleke mzungu sehemu kame ndani ya mwaka atachimba visima panakuwa kijani, lakini mwafrika atajenga hapo kanisa la majani aanze kuomba Mungu alete mvua.😁
Hivyo Hivyo.kivipi?
Firmware za kutu update wanazo wenyewe wazungu lakini hawataki na hawatathubutuHakuna mechanism ya kuwa updated mkuu?
huna hojaHivyo Hivyo.
Yaani wao ndo watu update sisi?😀😀Firmware za kutu update wanazo wenyewe wazungu lakini hawataki na hawatathubutu
Siku zote ukweli ukisemwa huwa mchungu.Kuna watu humu Jf wameanzisha tabia ya kuwatukana watu weusi bila sababu, sijui ndio kuondoa stress zao binafsi.
si ujibu tu hoja zao mkuuSiku zote ukweli ukisemwa huwa mchungu.
Acha tutukanwe ili tubadilike.
Hoja hujibiwa na hoja. Uongo na Uhasama sio hoja.huna hoja
Mzungu anajua hatuna akili anatutumia wenyewe kuangamiza watu wetuHatuja punjwa Akili mzee..ila tulizidiwa Akili wakati waarabu na wakoloni wanakuja kuchunguza Bara letu tukadhani wamekuja kwa nia njema bila kutafakari kwa kina ujio wao..Wazee na mababu zetu niseme na kuwaita walikuwa VILAZA, wapumbavu, wajinga na wakakosa umoja waka anza kusalitiana wao kwa wao...yani Machief wetu walishiriki kutoa taarifa nyingi sana na kuwapa wakoloni Kama taarifa za kiulinzi, majeshi,imani zao, walitoa taarifa zote muhimu na kuwa ambia waarabu na wazungu...Sasa baada ya waarabu na wazungu kupata taarifa zote muhimu wakarudi kujipanga sasa kwa Uvamizi..wakajua udhaifu wetu ni kukosa umoja hivyo wakazidi kutugawa na kutugombanisha na kuchochea chuki baina yetu...Mfano mdogo tu Mangi mandara wa wachaga alishirikiana na wajerumani ili tu amzidi Mangi Meli kiutawala ..Huu si ujinga huu.!!!...
Wazungu wao ni wajanja sana toka zamani waliweka tofauti zao pembeni wakaungana kwenye kila nyanja kiuchumi, kiulinzi, kifedha..ndio maana leo hii kuna Umoja wa Nchi za Ulaya (EU),wana umoja wa kujihami NATO,makao yote makuu ya nchi zote yapo kwao United Nations (UN),Benki kuu ya dunia(WB), mashirika makubwa yote ya kielimu, kiafya yapo kwao....
Waafrika wenye Akili walikuwepo kina Muammar Gadaffi, Nkurumah, wanaharakati weusi kina Malcolm x, Martin Luther king Jr, Muhammad Ali, walitoa michango mikubwa sana kutaka AFRICA iungane tuwe kitu kimoja, sema kutokana na Akili za waafrika wengi zilivyo za kijinga, kimaskini, zenye chuki binafsi,ukabila,uchu wa madaraka Zinachangia kuzima na kukatisha tamaa za Waafrika wachache wenye Akili na upeo kuendeleza mapambano ya Afrika kuungana...mfano ni sisi wenyewe watanzania tulimpinga sana Magufuli kisa tu ali ingilia uhuru wa wahujumu uchumi,ajira hewa.. vibaraka wa wazungu....Kwa ufupi ni kwamba mchawi wa Mwafrika ni mwafrika mwenyewe tangu zamani.
kazi kwelikweliHoja hujibiwa na hoja. Uongo na Uhasama sio hoja.
Kajitafakari.
Hoja ipo wazi wanaopinga ndio wapinge kwa hoja.si ujibu tu hoja zao mkuu
ah sasa mjomba walio upande wa mleta mada wapinge nn? wapinge wanaompnga mleta mada wao ndio wapinge kwa hojaHoja ipo wazi wanaopinga ndio wapinge kwa hoja.
Na usiku bila taa ni hatariTatizo ni rangi mkuu. Rangi nyeusi sio nzuri sehemu nyingi. Hebu jaribu kupaka nyumba yako rangi nyeusi uone.
Kupita yote dunianiSema kuzaliwa Africa nao ni mtihani mkubwa sana aiseeView attachment 2356252View attachment 2356253
Unaifahamu historia ya kemet/Misri , amabayo hapo kabla ilijulikana land of blacks Ambayo haijachakachuliwa na hao white supremacists?achana na hao kina gadafi, mtu mweusi km mtu mweusi hajafanya kitu chochote kilicholeta mapinduzi dunia hii, tumesoma akina pythagoras, archimedes mpk kizazi cha kina newton na enstein.....hukuti mtu mweusi huko, mtu mweusi hana hata historia ile ya kusema mwaka68 BC kulikua na watu somewhere tanganyika wakifanya 1,2.3 ila jamii zingine maendeleo yao unaweza kuyatrace tangu muda huo na bbu zao waliandika hizo historia ambazo zipo mpk leo, tatizo la tu mweusi limeanzia mbali kwann huyu mtu mweusi ye hana hata historia na hajashiriki katika mapinduzi makubwa ya sayansi na hisabati? ana tabu gan huyu?
mkuu mi ht sijadharau nilitoa tu hoja na ni jambo jema nawe umeweka hoja pia, mimi niko interested sn na historia ya mtu mweusiUnaifahamu historia ya kemet/Misri , amabayo hapo kabla ilijulikana land of blacks Ambayo haijachakachuliwa na hao white supremacists?
Usijidharau ndugu, hapo kabla tulitawa kianzia Afrika, Amerika Hadi Elaya, tawala zinainuka na kuanguka, zama za hao westerners zinaenda kufika ukingoni, Afrika inanyanyuka tena.